Huoni hapo wa kulaumiwa ni Mkullo??
Hapana mkuu, wa kulaumiwa hapo ni dereva mwenyewe. Maswala ya magari, mhusika wa kosa ni yule anayeendesha.
Kuna makosa mengine ambayo hata unayeona kosa, kama hujalizuia au kutoa taarifa nawe ni mkosaji. Kwenye kuendesha gari sidhani kama ni mojawapo.
Sana sana tu kama waziri na kama anajua sheria za barabarani, ungetegemea amwambie dereva wake kwamba anafanya makosa. Lakini naamini lawama hapa ni za dereva mwenyewe.
Pia kuna sheria za nchi ambazo zinaruhusu baadhi ya watu kutokufuata sheria za barabarani. Kwa mfano kama Mkullo alikuwa na kikao muhimu na WB cha kujadili njaa. Anaweza kuruhusiwa kukiuka baadhi ya sheria za barabarani. Kwenye hii case huenda hatuna taarifa kamaili juu ya kwanini hili lilitokea.
Ndugu yangu Mtanzania , kama Mkutano wa WB au Bunge etc , sio defence, kwa sababu kila Mtanzania anapo taka kuwahi anawahi 90% shughuli ya kujenga taifa, sio kwamba Cheo chako kina onyesha umuhimu wako. eg Je daktari anaye tumia Gari lake Binafsi kuwahi Operation na hatumi gari lenye kimuli kimuli, unakuwaje.
Unajua Baadhi ya watu wanataka short cut , badala ya kufikiria Solution.
Maana tatizo hilo sasa hivi lina ghusa kila sekta, iwe mabalozi, wafanyabiashara, wazalishaji viwandani, watoa huduma etc, je wote hawa wakatishe barabara itakuwaje?
Hivi ni mara ngapi mmemshuhudia Mkullo akitumia njia hiyo ya dharula...........Hivi kuna mmoja kati yenu aliyemsimamisha na kumuuliza kama alikuwa na dharula au lah??...........mlitaka aanze kuwaambia nina dharula ndio mkubali..........hata wewe Tuandamane ungekuwa na dharula.........ni rukhsa.......au?
.........dharula iwe dharula kweli na isiwe abused.......otherwise law enforcers ndio wana matatizo..............