Mustafa Hassanali kawa simple

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Mustafa Hassanali akiwa na vimodel enzi hizo

Mustafa Hassanali akiwa simple siku hizi mpaka suit zinamkaa

3.JPG
 
Ule ubonge umepungua kafla huyu jamaa alipigwa kisu nini eti anadanya diet wapi na wapi wakuu
 
Jamani naomba contact za huyu jamaa(si taki kula) anipe siri nimekwisha amua kuanzisha weight clinic/health club hapa bongo, nile pesa za mademu zenu wanaopenda kujikondesha.
 
Ningependa kuona akivua shati kama kuna manyama uzembe, mana dayat ya namna hiyo halafu zile extra skin sijui uta ficha wapi.huyu ina wezekana ni jenny crage , liposucton and tummy tuck or labda ndio kanasa pia (since kunaswa ni jambo la kawaida siku hizi sio kama na nyanyapaa)
 
Jamani naomba contact za huyu jamaa(si taki kula) anipe siri nimekwisha amua kuanzisha weight clinic/health club hapa bongo, nile pesa za mademu zenu wanaopenda kujikondesha.

HAhaha mkuu umesahau kuwa mademu wa kibongo wanapenda kuwa wenye miili mikubwa ndo maana wachina wanawapatia kwenye dawa za kuongeza mizigo nyuma.
 
HAhaha mkuu umesahau kuwa mademu wa kibongo wanapenda kuwa wenye miili mikubwa ndo maana wachina wanawapatia kwenye dawa za kuongeza mizigo nyuma.

Hao wanaongeza ya kichina hawana pesa hao, wengi wao ni wa magomeni na kinondoni, mimi niafungulia mikocheni pale kwenye mapagara ya zadok dar village nawa target watoto wa kishua..u know watsup, hi daddy, yaani hao masnei.
 
Mwanangu!
Miye nitakua mteja wako wa kwanza nimeshajaribu Gym ,Diet na sasa niko kwenye Al-wastain ile ya Kisunnah nikishindwa kupungua hapa nilitaka niende huko India nikale kisu.
kama vipi ni Pm tuwasiliane ili niwe mteja wa mwanzo mwanzo labda nitakua mfano weight yangu 100Kg mambo yote hayo hapo juu nimefanya ila nimepungu grams 450
 
hizi clinic za kuchapa watu visu naona ziletwe nyingi tu hapa bongo, nahisi wateja ni wengi but thank God am happy the way i am
 
No, huyo ni Ndugu yake ------------sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki
 
No, huyo ni Ndugu yake ------------sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki

Mkuu kwa hili kubali tu kudanganyika, jamaa alikuwa kama kepteni komba amepungua kawa kama shamsi vuai nahodha. Nasubiri vitu vichache tu na mimi nianze kuwa kondesha wabongo, nikipata watu kama akina wasira hivi itanisaidia sana kwa publicity.
 
No, huyo ni Ndugu yake ------------
sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki

Haa ha ha ha ...................!
Mkuu,
Habari ndio hiyo
Alafu nimesikia amemchumbia Jackiline (kyline),labda sababu moja ya kukubaliwa uchumba ilikua kupungua usifanye mchezo na mapenzi hatakama utaonekana kituko.
Alipoenda kwenye hiyo op.yake watu wakadai eti kafa,kunagazeti la udaku liliandika
 
Back
Top Bottom