Mustafa Hassanali - From XXL to Very Small

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Now

Naomi%2BCampbell%2B2.png




Then

mustafa-ndani.jpg



Wadau kupungua kwa kiasi hiki hakuna athari kiafya kweli??
 
Aisee, kama angepungua kwa mazoezi ingekuwa nzuri. Lakini hata hivyo amependeza sana.
 
Inaoneka amepungua proportionally. Hata kama ni liposuction basi diet vile vile imechangia sana.
 
Hauwezi ku liposuck that much, kama kafanya operation ni ya Gastric Bypass.
 
Tumpongeze unene sio mzuri.Nilikuwa na kilo 118 na nimefanikiwa kupunguza hadi 80...naona tofautu yake...mimi nimemfurahia
 
Ebwana eeh, mi niligongana naye duka moja mjini, ilibidi niangalie pembeni, amepungua mpaka amepitiliza. Yaani kama ulikuwa unamjua alivyokuwa mwanzo utaogopa.

I would've supported kama angekuwa amepungua kwa mazoezi.....lakini kwa operesheni mmmh...sijui!!! Otherwise I wish him all the best!!!
 
Ingawa sijui nini kimemtokea kupungua kiasi hicho, amependeza maana nyama nyama zikizidi nazo zinaondoa utanashati wa mtu.
 
What money can do...nakumbuka nishaona sehemu wameandika I am fat I can do something about it but you are ugly... Lakini naona sasa wote wenye hela wanaweza kuafford sijui plastic surgery, liposunction na gastrobypass.

If it makes him sleep better at night...good for him!
 
Back
Top Bottom