Ila nahisi alimpanga huyu jamaa apate sifa
Bado ni hekima kwani hawa wengine wanamudu si wanaendesha tuuu kama gari bovu kutoka hawatakiNchi ilishamshinda akatafuta Uchochoro wa kutokea
Kwani asingeligombea ingekuwaje? Kwanini mnatafuta uchochoro wa sababu. Mbona Mugabe ilimshinda zamani na hajafanya kama yeye? Huyo ameonyesha mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wengine Afrika.Nchi ilishamshinda akatafuta Uchochoro wa kutokea
Ni mtu wa hivyo tu, hata siyo profesa wa shule. Amejipachika na kupachikwa majina ili kumfurahisha kwa mtindo wake wa utawala mbovu.Nzuri sana.Prof yupo vizuri
Ndoto za mwendawazimu (ashakum si matusi).Kuna uwezekano mkubwa 2020 J akapiga simu ya namna hii,Kwa kuwa kunauwezekano akashindwa vibaya sana hata wizi husiweze kucover gap hilo.