Must Watch Video: Rais aliyeshindwa Gambia ampigia simu mshindani wake

Iam very happy to see and hear this from my fellow African brother. Despite all his shortcomings, this phone call will define him for much of his life after the presidency. Very few can do this. From my heart: Hongera sana President Jammeh. Maisha ni safari. Mwenzako ataanzia ulipoishia.

I wish more Africans will learn from this gesture.
 
Afrika yenye matatizo ni kusini mwa jangwa la sahara, Afrika magharibi wanajitambua mifano mizuri ni Ghana, Nigeria, na leo Gambia.
Ila kuanzia tumboni mwa Afrika (East A) kushuka chini hadi kwenye miguu kwa babu mtanashati mambo hovyo hovyo kabisa
 
Nzuri sana.Prof yupo vizuri
Ni mtu wa hivyo tu, hata siyo profesa wa shule. Amejipachika na kupachikwa majina ili kumfurahisha kwa mtindo wake wa utawala mbovu.

Ni huyu aliyejidai kuota dawa ya AIDS/HIV na akaanza kunywesha wagonjwa, na kuwazuia kutumia Anti-retroviral. Hakuna kitu hapo!
 
Kuna uwezekano mkubwa 2020 J akapiga simu ya namna hii,Kwa kuwa kunauwezekano akashindwa vibaya sana hata wizi husiweze kucover gap hilo.
 
Afrika inabadilika yaani profesa,Dr,alhaj,shehe,jenerali,mtukufu,dikteta Yahya kakubali kushindwa?
 
HUU NDIYO UUNGWANA. Vingozi wa ccm Zanzibar zambi mliyofanya kwa Maalim, LAZIMA ITAWATAFUNA.
Mnasema nchi haichukuliwi kwa makaratasi, alafu mnachapisha makaratasi kwa pesa za walipa kodi ili kuuadaa ulimwengu.
 
Back
Top Bottom