Must watch: Mfano wa karatasi za kupiga kura

Ujanja wao kikomo 25 October

Kwanini picha ya mgombea imewekwa mbali na sehemu ya kuwekea tiki? hata mgombe mwenza yuko karibu zaidi; kwanini nembo ya chama haikukaa chini ya sura ya mgombea? mi naona kuna walakini hapo na sijui kama vyama walikaa na kukubalia hii dizaini manake watu wanajua kucheza na akili za wenzao wakijua wanadili na wajinga na malofa
 
Kwa nini jina la Lowasa na Magufuli yamefuatana? sina imani kwenye ukunjaji wa karatasi

Karatasi ikikunjwa tu tiki inalalia kwa makufuli na kama wino ni tepetepe jamaa atakuwa amekula bingo au kura imeharibika
 
Kwa nini jina la Lowasa na Magufuli yamefuatana? sina imani kwenye ukunjaji wa karatasi

Karatasi ikikunjwa tu tiki inalalia kwa makufuli na kama wino ni tepetepe jamaa atakuwa amekula bingo au kura imeharibika
 
KARATASI hii haijatulia sana!

1. Column ya ku TICK ingekaa mwanzo (karibu na mgombea urais) ili kuondoa confusion kwa watu wenye uelewa mdogo wa wanaoangalia sura tu. Kuna watu wataTICK juu ya sura ya mgombea na KUHARIBU kura.

2. Option #2: ianze column ya Nembo, Mwenza, Rais then Box la kuTICK, ili mtu akiTICK juu ya picha ya Rais automatically itafall kwenye box pia.

Naona kama kura nyingi zitaharibika, UNLESS hata mtu akiTICK juu ya picha ikubalike kuwa kura HALALI.
 
Kwa nini jina la Lowasa na Magufuli yamefuatana? sina imani kwenye ukunjaji wa karatasi

Alphabeti kutokana na jina la chama.... Lowassa yupo katikati so hata ikunjwe namna gani haita affect badala yake itatusaidia sana
 
Ocampo four
Bwana #HapaMatusiTu amezunguka kote akijaribu kujiweka mbali na lichama chakavu,ili pengine limuondolee GUNDU kumbe mwisho wa siku alama ya jembe na nyundo ipo beneath to Voting box..hahahah....! Mwaka huu lazima tuwanyoe hawa wanaizaya..!
Tukutane 25th Octobre!

Hahahahahaha safari hii CCM kazi kwisha... Waanze kufunga virago..
 
Last edited by a moderator:
Mbona Magu.fuli na kujitangaza kote na serikali ya magufuli kumbe bado yupo CCM. Lazima CCM iende kibla yaani watanzania tunoe vichinjio vyetu. Dah hiyo karatasi imenipa hasira ya kuwamaliza CCM-Twaweza.
 
Watu wazingatie kwamba neno ukawa linawakilishwa na chadema
hivyo watu wazoeshwe hivi CHADEMA=UKAWA
 
Na Je wino wa Lowasa ukigusa box la Magufuli japo tiki itakuwa inaangalia chini je hapo naomba ufafanuzi
 
Yule mzee wa push ups je?

Hivi push ups ndio zimekuwa ilani ya CCM?Push ups ndio ziwe kigezo cha kumpeleka mtu Ikulu,push ups ndio ajenda ya wana kampeni za CCM wakati wana ahadi chungu mzima wanatakiwa waeleze watazitekeleza vipi?...Dahhhh CCM imenichosha sana!!
 
Back
Top Bottom