Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,859
- 38,463
Hujawahi kuicheki?Oooh Owkay ngoja niishushe nitakupa mrejesho mkuu.
Thanks a lot.
Ina story nzuri sana hasa kwa mimi mpenda movie za kale.
Hujawahi kuicheki?Oooh Owkay ngoja niishushe nitakupa mrejesho mkuu.
Thanks a lot.
Hujawahi kuicheki?
Ina story nzuri sana hasa kwa mimi mpenda movie za kale.
Ina mkono humo sio poa.Sijawahi kuicheki aisee ni story tupu au na mkono ndani yake...?
Halaf nikumbushe jina la yule starring asiyejua kupigana yupo na mkewe na watoto wawili. Hahah.
Ina mkono humo sio poa.
Ile ya machafuko? "No escape".
Jamaa anaitwa "owen wilson"Oooh Owkay kama ina mkono Inafaa buddy.
Hahahahah yes ni "No escape". Lol.
Jamaa anaitwa "owen wilson"
Kuna movie alishacheza na jack chan nimeisahay jina.
Jamaa anaitwa "owen wilson"
Kuna movie alishacheza na jack chan nimeisahay jina.
"Hulk". itakuwa. Ziko part 1 & 2Oooh Owkay halaf kuna movie moja ya kitambo kama ulivyosema mwenyewe ila sio ya kale. Hahah.
Kuna dogo mmoja anakuwa mkubwa sana anatoka nje anaharibu vitu yaani kila muda anaongezeka ukubwa kupita hata nyumba, natumai utakuwa umeielewa hebu nipe jina niirudie niliiona kitambo sana aisee.
"Hulk". itakuwa. Ziko part 1 & 2
Daaah nimeikumbuka ndio mwishoni anajizamisha baharini.Unasemea The Incredible Hulk jamaa anakuwa kama wa kijani hii. Kama jitu la ajabu right...?
Kama unamaanisha hiyo hapana sio hiyo mkuu. Yenyewe ni mtoto kabisa na hata alipokuwa mkubwa kuliko nyumba bado alikuwa yupo kwenye taswira ya kitoto lakini ni bonge la toto kubwa kuliko nyumba mkuu.
Daaah nimeikumbuka ndio mwishoni anajizamisha baharini.
Ila hata mimi nimeisahau jina.
Hiyo kwanza mkuu.
Ila asante nitaitafuta na hiyo troy odyssey
Ul
ROOTS
real Diaspora's life yan ni hatat huo mzigo utafuteVipi hii mkono upo humu mkuu...?
Aisee Troy iko vizuri ni zaidi ya troublemaker mkuu.
Naiangalia into the badlands sasa hivi aisee. Mtoto hatumwi dukani ukimtuma anakataa. Ni hatari sana.
real Diaspora's life yan ni hatat huo mzigo utafute
TROY ni balaa zito,,Achilles Achillles Achilles,,nilipenda pale alipokua anamuita Prince Hector wapambane,dah huu mzigo mwisho
real Diaspora's life yan ni hatat huo mzigo utafute
Hii app gani mkuuMkuu naona zimekuja nyingi nyingi sjui ni ipi kati ya hizo aisee...?
View attachment 1166488View attachment 1166489