Wadau kama kuna mtu anajua app ya kudownload season za kizungu anambie- Seven Pounds Official Movie Trailer HD
Habri wadau mimi naomba kujuzwa jinsi ya ku pakua series kwa kutumia pc ni application gani nitumie na ntazipataje izo series
Asanteni
Aante kiongoziDownload torch browser ina torrent hivyo hauhitaji application tena mkuu
Download torch browser ina torrent hivyo hauhitaji application tena mkuu
Mhh, inatishaMovie hii inaitwaje View attachment 1111317
Ukitaka movie HD
Index of/movie &series basi.
Mfano:index of/movie /shazam.unaipata movie chap
Au
Index of /series/ blacklist.
Chap unaipata google
1337x.toHabri wadau mimi naomba kujuzwa jinsi ya ku pakua series kwa kutumia pc ni application gani nitumie na ntazipataje izo series
Asanteni
Guys msaada nahtaj kupata link ya movie ya titanic ile original
Anaejua movie kali inayofanana na troy aiseeh embu ashee hapa.
Hiyo movie huwa siichoki najikuta tu nikikosa movie ya kucheki nairudia.
Mti wenye matunda.
Hiyo kwanza mkuu.Kiongozi Troy uliyoitaja hapo ni ipi kati ya hizo aisee...?
View attachment 1157692View attachment 1157693
U mean seeders?Kuuliza si ujinga kukaa nalo moyoni ndo ujinga wadau wa movies seeds ndo nini?
Hiyo kwanza mkuu.
Ila asante nitaitafuta na hiyo troy odyssey
Ul