Must see Movies

Habri wadau mimi naomba kujuzwa jinsi ya ku pakua series kwa kutumia pc ni application gani nitumie na ntazipataje izo series
Asanteni
 
Ukitaka movie HD
Index of/movie &series basi.
Mfano:index of/movie /shazam.unaipata movie chap
Au
Index of /series/ blacklist.
Chap unaipata google
 
Mkuu muvi zipo za maana ila zina space kubwa mno hakuna zenye space zinazotosha na bando letu maana ccm hawajatulipa pesa yetu ya korosho
Ukitaka movie HD
Index of/movie &series basi.
Mfano:index of/movie /shazam.unaipata movie chap
Au
Index of /series/ blacklist.
Chap unaipata google
 
Guys msaada nahtaj kupata link ya movie ya titanic ile original
 
Anaejua movie kali inayofanana na troy aiseeh embu ashee hapa.

Hiyo movie huwa siichoki najikuta tu nikikosa movie ya kucheki nairudia.

Mti wenye matunda.

Kiongozi Troy uliyoitaja hapo ni ipi kati ya hizo aisee...?

Screenshot_20190719-192034.png
Screenshot_20190719-192053.png
 
Kuuliza si ujinga kukaa nalo moyoni ndo ujinga wadau wa movies seeds ndo nini?
U mean seeders?


Seeder ni wanaodownload na kushare.

Seeders ndio wanowezesha na anaedownload kulipata file.

Seeders wanapokuwa wengi na ufanisi wa kudownload unakuwa mkubwa.


Nb; ngoja wataalamu zaidi waje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom