Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 616
Badland ni Noma?
Masta kamba kwa mtaani kwetuWazee wa movie kuna movie moja hivi ya zamani sana tumekuwa tukiiona, Kuna jamaa alipata mission ya kwenda kuokoa watu ikabidi atafute watu wengine kama saba hivi. ila hawa jamaa walikuwa wanatumia pikipiki katika mission zao ni movie kama imechezewa Vietnam. Naombeni jina kama kunaanae kumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Terror umeingalia mkuu,sema ni seriesAnaejua movie kali inayofanana na troy aiseeh embu ashee hapa.
Hiyo movie huwa siichoki najikuta tu nikikosa movie ya kucheki nairudia.
Mti wenye matunda.
Terror umeingalia mkuu,sema ni series
MojaZipo season ngapi
Mti wenye matunda.
Ok itanifaa nadhani ngoja nikacheki trailerMoja
labda hiyo ya kati hizo zingine ninazo300 Spartans
Centurion
Hercules
Oh my..... ain't no tellin
The PatriotAnaejua movie kali inayofanana na troy aiseeh embu ashee hapa.
Hiyo movie huwa siichoki najikuta tu nikikosa movie ya kucheki nairudia.
Mti wenye matunda.