Must see Movies

Eehe sasa bora njiani kungekuwa na mikiki mikiki ya maana naona action moja kama sio mbili..!! Ilibadi iwe na mkono zaidi akiwa njiani kurudi home coz kama ni story mbona anatembea tu just na mbwa njia nzima... Sema kila mtu na upendeleo wake.. But kwangu ni Movie Mbayaaa...
, action kubwa Ni yule mbwa kuzaa mwishoni
 

Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom