bongo experience
Member
- Jan 22, 2017
- 55
- 93
Samahani mkuu director hajaenda haki sehemu gani mbona movie iko poaStory nzuri lakini director hajatenda haki
Samahani mkuu director hajaenda haki sehemu gani mbona movie iko poaStory nzuri lakini director hajatenda haki
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!ZItafuteni movie mbili zmetoka hv karibuni..
Mile 22
Alpha
Si movie hiyo. Ni short clip kama unavyoiona hapo. Jina lake nmesahauUkiipata na me nambie mkuu
Alpha imeisha kizembe sana, kama Mowgli tuAlpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
JE alizingua sana mwishoni vile nguo ilipomvukaHizi ni shida
Predator
Venom
Hunter killer
Night comes for us
Mission impossible fall out
Johnny English strike again
Predator hii imekuwa ya kiboya!Hizi ni shida
Predator
Venom
Hunter killer
Night comes for us
Mission impossible fall out
Johnny English strike again
Alpha hakuna movie Palee ni Ujinga ulee...Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
Mile 22 ndo movie...alpha unapoteza Mb zako buree... Yani action hakunaa maujinga tuu...ZItafuteni movie mbili zmetoka hv karibuni..
Mile 22
Alpha
Alpha ni bonge la movie, ni bonge la story, inaelekea wewe unapenda action tupu ndio mana movie kama alpha huzipendiMile 22 ndo movie...alpha unapoteza Mb zako buree... Yani action hakunaa maujinga tuu...
Alpha story yake ipi saaa pale???? Sijaelewa yani kwamba yulr mtoto kukaa na yule mbwa au????Alpha ni bonge la movie, ni bonge la story, inaelekea wewe unapenda action tupu ndio mana movie kama alpha huzipendi
Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafuAlpha story yake ipi saaa pale???? Sijaelewa yani kwamba yulr mtoto kukaa na yule mbwa au????
Eehe sasa bora njiani kungekuwa na mikiki mikiki ya maana naona action moja kama sio mbili..!! Ilibadi iwe na mkono zaidi akiwa njiani kurudi home coz kama ni story mbona anatembea tu just na mbwa njia nzima... Sema kila mtu na upendeleo wake.. But kwangu ni Movie Mbayaaa...Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafu
Night comes for us ni unyama Iko Uwais kaitendea Haki kma kawaida Ila predator ya sasaiv ni mbovu Kwa mtazamo wangu aseeeHizi ni shida
Predator
Venom
Hunter killer
Night comes for us
Mission impossible fall out
Johnny English strike again
Iko uwais jamaa na balaa huyuu khaa... Ngoja antafuta movie zake zotee...Night comes for us ni unyama Iko Uwais kaitendea Haki kma kawaida Ila predator ya sasaiv ni mbovu Kwa mtazamo wangu aseee