Must see Movies

ZItafuteni movie mbili zmetoka hv karibuni..
Mile 22
Alpha
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
 
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
Alpha hakuna movie Palee ni Ujinga ulee...
 
Alpha story yake ipi saaa pale???? Sijaelewa yani kwamba yulr mtoto kukaa na yule mbwa au????
Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafu
 
Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafu
Eehe sasa bora njiani kungekuwa na mikiki mikiki ya maana naona action moja kama sio mbili..!! Ilibadi iwe na mkono zaidi akiwa njiani kurudi home coz kama ni story mbona anatembea tu just na mbwa njia nzima... Sema kila mtu na upendeleo wake.. But kwangu ni Movie Mbayaaa...
 
Hizi ni shida
Predator
Venom
Hunter killer
Night comes for us
Mission impossible fall out
Johnny English strike again
Night comes for us ni unyama Iko Uwais kaitendea Haki kma kawaida Ila predator ya sasaiv ni mbovu Kwa mtazamo wangu aseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom