Must Read:- Yanayotokea shule ya msingi Janjajanja.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,736
155,419
SHULE YA MSINGI JANJAJANJA...
Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?
Dent 1: Sio mimi!
Dent 2: Walla sihusiki.!
Dent 3:Kwanza mimi jana sikuja shule.!
Ticha alipoona kuwa wanafunzi wote ni majuha,akaamua kumuita Mkuu wa shule.Mkuu akawauliza swali lile lile,
mambo yakawa vile vile,Ndipo Mkuu alipomuita Mwalimu pembeni na kumnong'oneza.
"LAKINI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO
DARASA HILI?"
 
Naibu waziri wa elimu nasikia anamiliki shule, na hili tukio limetokea kwny hiyo shule yake
 
Iliyoko humu inachekesha kuliko yako mkuu, sorry umechelewa kujua, tutafutie nyingine nakupa 5 kwa sababu umeleta wakati mm sijaleta hata hiyo recycle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom