mussa banzi ovyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mussa banzi ovyo!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by minda, Aug 11, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nakiri huyu jamaa ni mwandishi mzuri wa filamu lakini natamka rasmi kuigiza jamaa hawezi kabisa na aache kabisa kuigiza abaki tu na kazi ya uandishi wa filamu za kibongo.

  hivi karibuni niliangalia part 1,2, & 3 ya filamu ambayo yeye mwenyewe ameiandika na kuicheza kama muigizaji mkuu, yaani mr banzi aliyekwenda mjini na kuwakana wazazi wake kabla ya kuokolewa na mchumba wake wa zamani.

  ni kichekesho; jamaa hana mvuto wa kuigiza- broken english kama kawa, mwanzo mpaka mwisho(masaa 4) filamu imeigizwa kwenye jumba moja; jamaa kauza sura ile mbaya, mapozi ya kishamba, kanyoa panki ya 1990s, kwa kifupi sura kauza na mademu wengi watampigia...lakini kazi hiyo ni ovyooo...

  my take;
  huyu jamaa aachane kabisa na kuigiza kwani hana mvuto kabisa na ataharibu hadhi ya tasnia ya filamu za bongo ambayo tayari imepandishwa chati na waigizaji wenye mvuto na wanaokubalika kama
  kanumba
  ray
  mainda
  johari
  norah
  richy
  jb
  ndauka
  wolper
  tues
  na wengineo kibao wenye mvuto.
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe umetumwa na hao akina kayumba,tunakujua tuu
   
 3. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mimi naona binadamu tunatofautiana katika kutathmini na mitazamo.mimi namwona ni muigizaji mzuri sana na anajua kuvaa uhusika kwa mfano ile filamu yake ya unbroken promise,amevaa uhusika vizuri sana,alikuwa anaigiza km mwanaume anaetegemea mali za mwanamke..a.k.a mariooo na kamudu kwa mtazamo wangu!
   
 4. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ....kazi kwenu na filamu zenu za kibongo!!!
   
 5. minda

  minda JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  usikate tamaa; tuwasaidie hawa jamaa mambo yao yalingane na viwango vya kimataifa.
  inaonekana wewe nolliwood, holywood na bollywwood tu...


  huyo Kayumba wala hata simfahamu; nilipata kumsikia kwenye hakielimu na sasa hapatikani...
  ni mawazo yangu tu wala sikutumwa na mtu yeyote hivyo usijali.
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  hajui kuigiza hata kidogo,ila utunzi wake ni upo juu mno.siku nilipokuja kuona film aloigiza,nikasema hee huyo ndio mussa banzi mwenyewe.ku act ni zero
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhh
   
Loading...