Musoma, Vodacom internet speed ni noma kuliko Arusha

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,026
1,179
Wanajamvi speed ninayopata musoma mjini kwenye tecno n3 yangu ni noma nashusha movie kupitia torrent app ya Mb256 kwa dakika 10 yaan nahisi miujiza lakin nilipokuwa arusha Mb 256 nashusha kwa masaa matatu daah au ni tecno yangu ndo inaspeed.nikiangalia speed rate kwenye torrent ni 650kBps lakini arusha ikienda sana ni 240kBps
 
Upo eneo zuri tu hapo.... Coverage ya 3G ipo vizuri. Hakuna cha simu kuwa na speed au lah
 
Wanajamvi speed ninayopata musoma mjini kwenye tecno n3 yangu ni noma nashusha movie kupitia torrent app ya Mb256 kwa dakika 10 yaan nahisi miujiza lakin nilipokuwa arusha Mb 256 nashusha kwa masaa matatu daah au ni tecno yangu ndo inaspeed.nikiangalia speed rate kwenye torrent ni 650kBps lakini arusha ikienda sana ni 240kBps

Nah sio tecno yako ni mahali ilipo na request zinazofanyika kwenye mtandao by user moshi, arusha na dar kwa mchana utakesha kudownload mb 700 ukitumia ADM itawahi ila Kat utalala... But kwa usiku atlist zinasogea so i gues users wa msoma they are still few so open connection zipo nyingi you can seed fast kwa torrent... Nakuonea wivu nko moshi na netwrk inanikera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom