Musoma sukari sh.3200

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Nimenunua sukari leo asubuhi,Sept 04,2011 1kg sh 3200!
This is now too much wakuu!

Nazidi kupoteza matumaini ya kunywa chai siku chache zijazo.

Nchi yetu inaelekea wapi Molaaa...!! sasa na chai nayo inataka kuwa kitendawili?

na baaado inatakiwa ifike hadi laki moja kwa kilo ndo tutakapopata futa tongotongo na kujua kua kumbe kumekucha...........

Nimenunua sukari leo asubuhi,Sept 04,2011 1kg sh 3200!

This is now too much wakuu!

Nazidi kupoteza matumaini ya kunywa chai siku chache zijazo.

Poleni sana mkuu sasa ndio watu wataelewa nini kinaendelea chini ya sarakasi legelege.

Hee mola tusaidie sisi wana wako maskin wa tz. Mana na chai nayo imekuwa anasa sasa. 'Turudi kwenye sfongo tena!?'

Na bado itafika hadi sh. 5000/=...hata wamalawi wamewashinda kupigania haki..maandamano ndio suluisho.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom