safi kuhusu nini ?Safi sana
Tumechoka na siasa hizi za majitope.
Msajili kateuliwa na mwenyekiti wa CCM na kala kiapo cha kumtii hivyo lazima amlinde yeye na chama chake dhidi ya vyama vingine.Msajili wa bvyama vya siasa upo,wala hutoi neno.Ukisikia wapinzani wanataka kuandamana wakipinga uonevu bila sha utatia neno.Nadhani ni bora ipitishwe sheria na wana ccm bungeni ya kufutwa kwa vyama vya siasa mpaka uchumi wa nchi yetu utakapoboreka maana hao wapinzani wanakwamisha maendeleo!
Wasipoacha upuuzi wao, itafika siku watakuwa waoga kukutana na yeyote kama mbwa koko.Hawalali hawasinziii
Lakni yote hayo uliyoyataja hakuna mahakama mahakama iliyowakuta na hatia kisheria.Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.