musoma NIDA data entry jobs

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
kwa mlioko musoma vipi nida washaanza mchakato wa kutafuta waandikishaji vitambulisho vya taifa? naomba kujuzwa na mimi niombe
 
mkuu hizi kazi naona asilimia kubwa wamechukua vijana wa jkt ndo wanafanya hiyo na wachache sana wenye michongo yao na kwa kifupi zoezi zima linaelekea mwishoni
 
Back
Top Bottom