Elections 2010 Musoma Mjini: CHADEMA yashinda kwa kishindo

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
504
100
source star tv:
ubunge:matokeo rasmi ni 21335 -chadema 14072-ccm
udiwani kata8-chadema,ccm wamepata 3 na cuf 2.
....great!great!
yametangazwa na msimamizi wa jimbo.
 
so good mambo naona safi sana kwa upande wa upinzani ..mungu yuko pamoja nasi
 
Wana Musoma wanapaswa kuanza kushangilia... kazi wameifanya na imeonekana
 
Nyota njema hunekana asubuhi. Kama Mramba na mapesa yake ameanguka, iweje hutwo tu fisadi toto?
 
GOOD JOB VINCENT.......Chi chi chi chi chi chi chi:rip::rip::rip::rip::rip:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom