MUSOMA, MARA: Ambulance ya Hospitali ya wilaya Tarime yakamatwa ikisafirisha shehena ya mirungi

Hahaaaa Pdidy kwenye ubora wako wa kuandika hovyo hovyo. Hebu soma heading ya thread
 
Hivi ving'ora tunavyovipisha humu barabarani saa nyingine siyo wagonjwa ila ni mali ya wizi au magendo. Sasa hivyo Mirungi ilikuwa inawahishwa hospitali gani?
 
kuna mtu kachoma utambi hapo. sio rahisi ambulance kupigwa mkono juu king'ora na taa full hapo kuna kusalitiana/kudhuluniana mzigo/kutokuelewana kwenye malipo n.k
Hiyo taarifa ni nusu na wala hakuna cha utambi. Iko hivi, dereva alipigiwa simu usiku apeleke mgonjwa Bugando akadai yupo mbali na gari halna mafuta ikabidi mgonjwa asafirishwe kwa gari la polisi. Wakiwa njiani wakaona hiyo Ambulance ambayo ilidaiwa haina mafuta inapiga misele ndipo polisi wakaipiga mkono ndo kubaini ilikuwa kwenye dili.
 
sante kwa ufafanuzi
 
Siku ya kufa Mungu anajua
 
Hawa Watumishi waliopakia magunia ya bangi kwa kweli hawathamini kazi zao. Usiku huo nani alitoa idhini ya gari kutoka kwenye yadi ya Serikali. Hii ni dalili ya vyuma kukaza?.
 
Hapo in kusubir uchunguz kuliko kuhukumu T.O au DMO wala katibu huenda nao wameshushwa na hili
 
Back
Top Bottom