huku musoma mambo yamekwenda mrama baada ya mtu mmoja anaye sadikika kuwa mwanachama wa CCM kuingilia maandamano ya CHADEMA na kumjeruhi mtu 1....Na matokeo yake kupigwa nusu ya kuuwawa na kupelekea kulazwa hospitali ya mkoa:A S-baby::A S-baby::A S-baby:uke:
Tukiruhusu dhambi ya ubaguzi itugawe kwa kisingizio cha itikadi zetu,tujue tunajidanganya..hatutapata usingizi kupoteza damu za ndugu zetu..kwa kua baada ya mambo yote kupita bado tu wamoja! Mungu Ibariki Tanzania!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.