Elections 2010 Musoma balaaaaaaaaaa.

ypointer

Member
Nov 1, 2010
9
0
huku musoma mambo yamekwenda mrama baada ya mtu mmoja anaye sadikika kuwa mwanachama wa CCM kuingilia maandamano ya CHADEMA na kumjeruhi mtu 1....Na matokeo yake kupigwa nusu ya kuuwawa na kupelekea kulazwa hospitali ya mkoa:A S-baby::A S-baby::A S-baby::puke:
 
poleni sana huko ila kuweni makini na hao watu

wewe nawe acha unafiki na upuuzi, mara useme kuwa uko musoma

huku musoma mambo

na kisha unaandika as if hauko musoma..... mafisadi wa ccm kwa unafiki mnaboa sana

Umejiunga leo tu na posts zako mbili lakini unataka kuleta ujanja ujanja wa kitoto hapa .... goooshi mafisadi mnauzi kweli
 
Tukiruhusu dhambi ya ubaguzi itugawe kwa kisingizio cha itikadi zetu,tujue tunajidanganya..hatutapata usingizi kupoteza damu za ndugu zetu..kwa kua baada ya mambo yote kupita bado tu wamoja! Mungu Ibariki Tanzania!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom