barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
UKATILI: Polisi Musoma inamshikilia Kijana mmoja Zakayo Manda(30) kwa tuhuma za kuwabaka na kuwaingilia kinyume na maumbile mama yake mzazi, dada yake na kina mama wengine wawili ambao ni majirani.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Ramadhan Ng'anzi amesema tukio hilo lilitokea juzi jioni majira ya 10:00 baada ya mama mzazi wa kijana huyo kutoka katika biashara zake akiwa na mtoto wake wa kike ambaye ni dada wa mtuhumiwa.
Source: Mwananchi Online
Ambaka mama yake mzazi, dada zake wawili na majirani