musoma airport masikitiko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

musoma airport masikitiko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Semilong, Aug 1, 2011.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  juzi nilikuwa naenda mwanza na precision kwa bahati tukatua musoma kabla ya kufika mwanza, nilishangazwa na hali ya uwanja lakini cha kustaajabisha zaidi ni pale nilipoona ndani ya uwanja hamna lami kuna udongo na pembeni ya uwanja kuna barabara ina lami. Nilijiuliza maswali mengi sana juu ya decision makers wetu nikakosa majibu.

  hawa watawala wetu wanamatatizo gani wanashindwa kuweka lami kwenye uwanja wanaweka kwenye barabara
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ulikuwa unaenda Mwanza kutoka wapi?
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kutoka dar
   
 4. w

  wesleyking New Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
Loading...