Muslims issue Fatwa against body scans in the airport

I agree with u to some extent but USA haisambaratishi middle east yote may be those weaker....because gulf countries are the richest arab countries and they produce lot of oil and USA had never touched them... and he can not because they are United...
kwani anayahitaji yote, ama kwa kiasi anachotaka.maana USA ili aendelee ni lazima usambazaji mafuta uwe stable dunia yote, kwahiyo hayo mengine ni lazima yaendelee kutufikia hata na sisi, ili aweze kuuza ford zake, ama machines zake mbalimbali....
Anaukaribu sana na Saudi Arabia, huyu ni mmmoja wa wazalisha mafuta wakubwa, anaukaribu na Kuwait, huyu ni mzalisha mafuta Mkubwa mwingine, sasa aliekuwa anamwinda muda mrefu ni IRAQ, akamsambaratisha, anakunywa damu zao kwa gharama ya mafuta ghafi....Simuungi mkono, ila mwelekeo na habari yenyewe ndio iko hivyo.
akipata anachokitaka, anaenda kwa wengine na wengine, kwake maslahi ya taifa ni bora mara mia , kuliko uhai wa Waarabu....nasema Waarabu si Waislamu, maana si kila Mwaarabu ni Muislamu.
 
r u patronizing me or what? Mie sipambani namtu hapa ( I got beautiful life and americans are so paltry to waste my life because of them)

I totally condemn the american actions... it is so sad that most of innocent ppl suffers because of so called Americans, yet ppl commending them and instead the whole blame goes to Muslims...

wake up ppl open ur eyes...

Noname,

My eyes are very open. If you have any link/connections with suicide bombing organizers, tell them to go and do it in america soil. This business of blowing flying planes you are just killing some innocent people, something I do not think it is correct. And our God is God of peace and not God of violence. Americans are doing whatever you;re blaming them for as a nation and not as a religion. Why should then think americans are against muslims while america is full of muslim people???? Acha kupanda mbegu za chuki Bwana!!!

Wasiotaka scanner wasisafiri ili kulinda hiyo the so called privacy!!!

Tiba
 
Hivi hizi scanner kuna tofauti na X-Ray ya hospitali? Vipi kuhusu Ultrasound wanayopigwa hasa wakinamama wa kiislam na kinababa makafiri? Yale yale
 
KUNa imani tofauti, hapa nadhani wanaotaka scanners zisiwepo niwale ambao wanaamini hata wakiwa kwenye ndege wakitolewa mhanga na mvaa mabomu ya chupi, wao watakwenda Mbinguni bila tatizo, ndio maan hawan wasiwasi , bomu liwepo lisiwepo hakuna wanacho kosa maana wanajua wakifa katikakutetea dini yao Mbenguni kuna thawabu, unapata wana wake bikra wazuri na warembo kuliko wana wake hawa tunao waona mitaani .

Imani yangu haiamini hivyo, so napenda nikiwa kwenye ndege niwe salama ,nisihofu kuna mtu kavaa chupi yenye bomu na kutuua wote ,maisha matamu, tuna watu wengi wana hitaji msaada wetu kwa sisi kuwepo duniani , kwnini tufe halafu hao walio baki wateseke kwa sisi kutowepo kwa sababu ya imani yako?
 
Bwana KULI hivi ukienda kusafiri na ndege pale kiwanjani ukaambiwa kuna mtu amekataa kupitia kwenye scanner kukaguliwa utaipanda ile ndege? Swala la usalama halipaswi kufanyiwa mzaa wa mambo ya dini au haki za binadamu. Watu kama kina Al Queda ,n.k wanaitumia dini vibaya. Maisha ya binadamu sio ya kuchezea na kucheka cheka eti dini na haki za binadamu. Kama mtu hataki akatafute njia yake mbadala ya kufika huko anakoenda. Wengi wetu tuko tayari kupitia kwenye scanner na wengi wape.

Usalama ni muhimu lakini vile vile inafaa kuangalia faida na hasara ya hizi jitihada za kuweka usalama. Kesho Al - Qaeda mwengine akiamua kumeza bomu na kulipua ndege viongozi watasema tuvue suruali kabla hatujapanda ndege. Hiyo pia utaunga mkono? Nimefurahi kuona wengine wanapinga huu wazimu.

¬K
 
Pope na wataalam wa afya wanakubaliana na FATWA ya kiislam, wenye vichwa vigumu humu jf kama kaida zao wanajikanyaga!

Pope Benedict XVI has criticised the use of airport body scanners, insisting that ''human dignity must be preserved''. At a Vatican meeting at the weekend, the Pope told aerospace industry figures that despite............

Healthy Risk

Air passengers should be made aware of the health risks of airport body screenings and governments must explain any decision to expose the public to higher levels of cancer-causing radiation, an inter-agency report said.


http://libertynewsradio.com/wire/ne..._Radiation_Exposure_Committee_Says_010555.php
 
Ishu nadhani inadeviate from core principal that je scanner zinamuumbua mtu au la. Binafsi nishapita katika hizo scanner ni kweli zinakuangalia mwili mzima but katika infrared shape na sio kama ulivyo mwili wako hivyo suala la privacy linaweza kuwa kidogo lina utata kwani kinachoonekana maungo yako virtually je umeaibika???. Kuhusu kuangalia maungo ya mtu kimsingi hii ni hoja sahihi kabisa but nadhani mie kama muislamu hawa maulamaa napingana nao. Mie nadhani hili swala it is a win win situation ambapo nadhani patafutwe suluhu katika hili. Ama kuhusu sie waislamu ikiwa tunataka tusiadhirike kifiqhi inasema mwanamke anaweza kuonekana maungo yake kwa watu walio karibu nae na wasioweza kumuoa yaani ajnabii. Sasa kama ingelifaa ikawekwa scanner mwanaume na mwanamke akipita mwanamke basi akae mwanamke askari kucheki hiyo scanner and vice versa kwa mwanaume. Hili litasaidia kuondoa huo mgongano wa malalamiko. Tukija kwa waislam wenzangu nadhani hoja ya islamic revival inahitajika sana kwani dunia hii si ya waislamu pekee. Kuna wahindi, wakristo na wapagani etc sasa a conservative view inapelekea kujenga chuki ambayo ndio watu wapuuzi (yes I say it) wanatumia kujistify their actions kwa kulipua innocent victims. Sasa kama masheikh wetu wakiweza kutuelimisha kivizuri tukaelewa kinachoendelea tutaweza kuondoa hizi negativity na absolute views ambazo baadhi yetu na wengine ndani ya dini nyengine (hasa walokole) walizonazo. Kimsingi duniani tumeumbiwa sote sasa ni jukumu letu kukaa kwa amani na sio kuumizana.
 
Kuhusu X-Ray well hapo lazima serikali itupe maelezo mazuri maana nilimuuliza daktari moja akanambia any x-ray devices has potential risk to your body imunity sasa sijui wataalamu wa hivyo vifaa wanasemaje mie simo kwa hilo
 
Hivi hizi scanner kuna tofauti na X-Ray ya hospitali? Vipi kuhusu Ultrasound wanayopigwa hasa wakinamama wa kiislam na kinababa makafiri? Yale yale

Nimefahamu kama unataka kufanya huu ni mzozo wa kidini lakini sio hivyo.
Kuna watoto na pedophiles wanahusika hapa. Na kuna wengine kama sisi hatuoni kama hii itakomesha terrorism.
X-ray ni tofauti na body scanners. Mara nyingi X-ray huchukua picha ya sehemu fulani ya mwili na picha yake ni tofauti na ya body scanners.

¬K
 
Ishu nadhani inadeviate from core principal that je scanner zinamuumbua mtu au la. Binafsi nishapita katika hizo scanner ni kweli zinakuangalia mwili mzima but katika infrared shape na sio kama ulivyo mwili wako hivyo suala la privacy linaweza kuwa kidogo lina utata kwani kinachoonekana maungo yako virtually je umeaibika???.

Mkuu hakuna utata hapo. Nani anayeweza kumzuia mlinzi njaa kali wa airport kuondoka na hiyo picha aliyopiga na simu yake feki ya mkono, akaenda kuirekebisha na kuipigia p0nyeto alafu kuipeperusha kwenye mtandao. Ebu tonya hapa na hapa

¬K
 
Kuna watu wabishi jamn duh bas kama hamtaki hizi scans msiende kwenye nchi zao khaaaaaa!!
 
Inabidi tutafakari mambo kwa upana

Na je vipi kuhusu mwanaume au mwanamke kutibiwa na kuonwa akiwa mtupu na daktari wa jinsia tofauti.

Nadhani kama tuko serious na privacy zetu tuangalie hili na mengine hizo body scanner si picha tu . kwani wanaona live.
 
hey dont be such an air-head what do u know about Islam?
Are u up for a real talk? or u just wanna have small talks...

may be u should use common sense before u write such things. do u think those ppl are enjoying killing themselves? this ppl all they want is vengeance on who ever has hurt or killed their family .... and whatever American Government does it will not stop them, unless if they stop first.
walewale;vengeance for what??tayari nawewe ni mmojawapo bado zamu yako tu haijafika kwenda kujilipua,its nonsense to defend killers,anyway you one of them now we know it.
 
No name, I believe you are a middle eastern, if you are not, your cooments stinks!! You need to study the world history and the change/shift of global politics and who/what do cause them. Any clever person will not associate it with religion. Politics whether in Islam, christianity, gentile, jewish or non religious state, exists to serve one master. And each time that master decides what kind of music to play, from cold war, to terrorism, and...who knows what will come after terrorism.
nashukuru nanyie mmeliona hilo.
 
Pope na wataalam wa afya wanakubaliana na FATWA ya kiislam, wenye vichwa vigumu humu jf kama kaida zao wanajikanyaga!

Pope Benedict XVI has criticised the use of airport body scanners, insisting that ''human dignity must be preserved''. At a Vatican meeting at the weekend, the Pope told aerospace industry figures that despite............

Healthy Risk

Air passengers should be made aware of the health risks of airport body screenings and governments must explain any decision to expose the public to higher levels of cancer-causing radiation, an inter-agency report said.

http://libertynewsradio.com/wire/ne..._Radiation_Exposure_Committee_Says_010555.php

Leo Pope amekuwa wa maana,
 
Leo Pope amekuwa wa maana,



Nimemtaja kwa sababu wewe ni mungu wako unae muamini, usingeweza amini FATWA kwa sababu najua chuki zako na waislam, ndio maana nimekutajia POPE wako ambae yeye na wataalam wa afya pia amekubaliana na fatwa za waislam.

Je nawewe utakubaliana na FATWA kama pope? au bado unaendelea kupinga kila kisemwacho na waislam?
 
Nimemtaja kwa sababu wewe ni mungu wako unae muamini, usingeweza amini FATWA kwa sababu najua chuki zako na waislam, ndio maana nimekutajia POPE wako ambae yeye na wataalam wa afya pia amekubaliana na fatwa za waislam.

Je nawewe utakubaliana na FATWA kama pope? au bado unaendelea kupinga kila kisemwacho na waislam?

Mimi Mungu wangu Ni Yesu Kristo, inter-alia, ni mwokozi wangu vile vile.

Kama ungejiuliza, ni kwanini wanaweka na/au wameweka na/au wanatumia scan kwenye port of authorities kwa binadamu, nafikiri usinge andika utumbo wako.

Msaada wa bure: Sababu ya scan na kuongeza ulinzi kwenye PA ni nyie wafuasi wa allah kiumbe mnaojiita, WAISLAM. Tabia yenu chafu imetoa amani duniani kote na kuleta hofu kubwa kwa bin-adam.

Hivi ni nini hasa mnapata mnapo ua watu wasio na hatia? Mungu gani huyo anaye shabikia unyama wenu?
 
Back
Top Bottom