Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 28
Njia ya kuzuia ni moja tu ... stop killing muslims so muslims will stop killing them Americans... muslims will never stop going to AMerican if the americans are still in muslim countries ... tit for tat.labda waonakataa scanning hizo, wawe maulamaa wakiislamu ama laah, walete njia mbadala za kukabiriana na wimbi la ugaidi na uhalifu wa kujitoa muhanga, walete Ushauri duniani kuwa mtu akificha baruti za mlipuko njia gani inaweza kumuumbua, ili kuifanya dunia mahala salama zaidi pa kuishi. kama hutaki scanning hizo basi lala nnchini mwako.wala usitoke.