Muslim school photo!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
umeniona hapa????
 

Attachments

  • Muslim school Photo.jpg
    Muslim school Photo.jpg
    24.8 KB · Views: 221
Yup, anaonekana vizuri sana, na ni yeye kabisa, ila wakati huo alikuwa bado yuko soft sana!
 
lakini inafikirisha, ngoja niendelee kufikiri maana kuna ujumbe katika hilo
 
kuna maninja wanatype...only that

sio wanatype wamehold picha yao ya pamoja, kama darasa vile ila ndo duh utadhani keyboard kumbe watu! Katunist bwana msisahau yule mdanish anaetafutwa na maharamia! Nawe watakutafuta pia!
 
upo katikati hapo ila naona full kufanana nyie wote mapacha nini???
 
Thanx sasa nimeweza jana ilinigomea


Ulilazimisha kuwafananisha, au ulifungua usiku. Huyo mwninge wa kushoto ana hangaika kutafuta sura yake amesahau alisimama wapi wakati walipopiga picha. Ili kuwa ni picha ya kumbukumbu ya graduation
 
Jamani mwenzenu nimecheka sana..
Hadi jirani yangu naye ameanza kucheka kwa jinsi nilivyocheka hadi mijichozi ikanibubujika.
 
Back
Top Bottom