Musiba sasa ‘awatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha’ wanachama wote wa CCM. Kiburi hiki anakitoa wapi?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,196
25,516
Nianze kwa kuweka wazi hapa kuwa mimi si mwanachama wala mfuasi wa chama chochote cha siasa hapa nchini na kwingineko. Lakini, siwezi kukataa ukweli kutoka moyoni mwangu kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa demokrasia safi na maendeleo ya nchi yetu.

Sichoki kuonyesha hayo kwa kupongeza kwangu;kukosoa kwangu na hata kushauri kwangu kwa Serikali yangu na vyama vya siasa. Nitaendelea kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya taifa letu na ustawi wetu. Sitaacha!

Nimeiona na kuisikia 'clip' moja ya Cyprian Musiba inayotajwa kama kuujibu Waraka wa akina Kinana. Humo, Musiba anasikika akisema "kuwepo ndani ya CCM kunahitaji Ph.D ya unafiki". Kwangu mimi, bila hata kutumia ujuzi wa kisheria nilionao,hiyo ni kauli nzito na 'mbaya'.

CCM ni chama tawala. Ndicho chama kinachounda Serikali. Kinasemwa kama chama cha siasa hapa nchini chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vyote vingine. Kuanzia Rais hadi viongozi wote wa kiserikali ni wanachama wa CCM. Wote hao wana Ph.D za unafiki?

Mdomo huponza kichwa. Hakika, Musiba amewatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha wanachama wote wa CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wa kiserikali. Musiba anapaswa kudhibitiwa haraka.

Hana haki wala haja ya kudhalilisha chama tawala na wanachama wake wote kwa kusema kuwa wana Ph.D za unafiki. Asome kwanza maana ya unafiki kwenye Kamusi na kuwapima tena anaowazungumzia.Eti hiyo ndiyo sifa ya kuwa mwanachama wa CCM. Like seriously?
 
Musiba ameponza mtu wakubwa kwenye nchi hii. Subiri sasa wazee wa siasa wamerudi siasani
 
Nianze kwa kuweka wazi hapa kuwa mimi si mwanachama wala mfuasi wa chama chochote cha siasa hapa nchini na kwingineko. Lakini, siwezi kukataa ukweli kutoka moyoni mwangu kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa demokrasia safi na maendeleo ya nchi yetu.

Sichoki kuonyesha hayo kwa kupongeza kwangu;kukosoa kwangu na hata kushauri kwangu kwa Serikali yangu na vyama vya siasa. Nitaendelea kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya tafa letu na ustawi wetu. Sitaacha!

Nimeiona na kuisikia 'clip' moja ya Cyprian Musiba inayotajwa kama kuujibu Waraka wa akina Kinana. Hum, Musiba anasikika akisema "kuwepo ndani ya CCM kunahitaji Ph.D ya unafiki". Kwangu mimi, bila hata kutumia ujuzi wa kisheria nilionao,hiyo ni kauli nzito na 'mbaya'.

CCM ni chama tawala. Ndicho chama kinachounda Serikali. Kinasemwa kama chama cha siasa hapa nchini chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vyote vingine. Kuanzia Rais hadi viongozi wote wa kiserikali ni wanachama wa CCM. Wote hao wana Ph.D za unafiki?

Mdomo huponza kichwa. Hakuna, Musiba amewatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha wanachama wote wa CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wa kiserikali. Musiba anapaswa kudhibitiwa haraka.

Kwanini amesema hivyo? Ukijibu hili swali nitaelewa hoja yako.
 
Kweli!,wakili msomi na masterz yako ndo unaandika hivi?unadhalilisha taaluma!
 
Musiba yupo sawa kabisa. Kinana humu alisemwa sana kuhusu Tembo. Leo hii watu wanamponda Musiba kisa kamsema Kinana. Watu ni wepesi sana kusahau na huo ndo unafki. Namuunga mkono Musiba kwa asilimia 200.
Mi namuunga mkono kwenye kauli yake "ili uwe mwanaCCM unatakiwa uwe na PhD ya unafiki"

Nadhani wanaCCM wameupata ujumbe mwanana toka kwa mwanaharakati anayejitegemea
 
Musiba ameponza mtu wakubwa kwenye nchi hii. Subiri sasa wazee wa siasa wamerudi siasani
They time came and passed, you can't hold the clock arm. Hizi ni zama mpya, siasa zao zilishapita kitambo sana hazina impact yoyote kwa sasa
 
Nianze kwa kuweka wazi hapa kuwa mimi si mwanachama wala mfuasi wa chama chochote cha siasa hapa nchini na kwingineko. Lakini, siwezi kukataa ukweli kutoka moyoni mwangu kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa demokrasia safi na maendeleo ya nchi yetu.

Sichoki kuonyesha hayo kwa kupongeza kwangu;kukosoa kwangu na hata kushauri kwangu kwa Serikali yangu na vyama vya siasa. Nitaendelea kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya tafa letu na ustawi wetu. Sitaacha!

Nimeiona na kuisikia 'clip' moja ya Cyprian Musiba inayotajwa kama kuujibu Waraka wa akina Kinana. Hum, Musiba anasikika akisema "kuwepo ndani ya CCM kunahitaji Ph.D ya unafiki". Kwangu mimi, bila hata kutumia ujuzi wa kisheria nilionao,hiyo ni kauli nzito na 'mbaya'.

CCM ni chama tawala. Ndicho chama kinachounda Serikali. Kinasemwa kama chama cha siasa hapa nchini chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vyote vingine. Kuanzia Rais hadi viongozi wote wa kiserikali ni wanachama wa CCM. Wote hao wana Ph.D za unafiki?

Mdomo huponza kichwa. Hakuna, Musiba amewatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha wanachama wote wa CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wa kiserikali. Musiba anapaswa kudhibitiwa haraka.

Hana haki wala haja ya kudhalilisha chama tawala na wanachama wake wote kwa kusema kuwa wana Ph.D za unafiki. Asome kwanza maana ya unafiki kwenye Kamusi na kuwapima tena anaowazungumzia.Eti hiyo ndiyo sifa ya kuwa mwanachama wa CCM. Like seriously?
Wewe ni Wakili mkuu unazani kunakosa la kimsingi hapo?.
 
Back
Top Bottom