Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

Hata Serikali yenyewe sidhani kama inayachukulia maneno yake Musiba kwa uzito wowote?

Kama tunavyoandika humu ndivyo hivyo hivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii ambayo imegeuzwa zaidi kuwa majukwaa ya udaku na siasa uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KINYWA HUUMBA NA KILA MTU MWISHO WA SIKU ATAVUNA ANACHOPANDA. INAWEZEKANA AKAWA ANA NIA NZURI ILA KWA NYAKATI HIZI ZA UTANDAWAZI AMBAO NDIO ULIMBEBA MPAKA YEYE AKAJULIKANA NI NGUMU SANA PENYE WEUPE UKASEMA NI PEUPE. NADHANI ANGEAMUA KUKAA KIMYA MANA SI MSEMAJI WA CHAMA NA KAMA KILA MKEREKETWA AKISEMA ASEME ANALOTAKA NADHANI TUTAGEUKA MAISHA YA KAMBARE KWAMBA KILA MTU ANA SHARUBU. KUNYAMAZA PIA NI JIBU TENA NI LA KIUNGWANA SANA MANA UKIMJIBU MTU ANAJUA MADHAIFU YAKO NA KUKUPA TUHUMA NYENGINE
 
Rubbish. Huyu si ndio moja ya wale wanaojiita wasiojulikana. Kiama chao chaja, ngoja azubae hapo huyo Obedi.
 
Nashangaa huyu jama mbona wote anaowasema hakuna hata moja aliekwenda Mahakamani kushitaki? Hii inanipa mashaka kweli kweli lazima wajitokeze waseme neno.
 
Ni zao la utawala uliokosa dira, hivi kweli kama nchi hii ingekuwa na Rais na vyombo vinavyotekeleza wajibu wao kisheria unafikir ungemuona huyo kichaa mtaani akiropoka?
Tulichokosa ni viongozi wazalendo na wenye akili timamu bali tuna kundi la wanafiki kwa mgongo wa uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: prs
Huyu kazoea kuzibuliwa mtaro nyege zikipungua ndio anakuja kuropoka kwenye tv
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kuonyesha kuwa na yeye ana watu wake(mtu wa intelijensia) anasema kuna watu toka Marekani/Ulaya wanamtumia video, wakati video zote zipo YouTube... This guy is pathetic. Kama hatumii madawa ya kulevya, au halipwi pesa nyingi sana.. then probably ni kichaa/mwendawazimu.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Back
Top Bottom