Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
29,997
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo

1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3. Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums. Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta. Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo
 
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

MONALISA ALISEMA MUSIBA KAPANGIWA CHUMBA NA MZUNGU KWA AJILI YA ISSUE YA "MARINDA" UFUMUAJI SASA NAONA ANAFANYA PROJECTION !
 
Back
Top Bottom