Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

Musiba ni nani ndani ya Chama/Serikali. Isije kuwa wanaomkumbatia kumbe kimikakati yupo kinyume nao. Nawaza tu.

Wakishaondolewa madarakani hao watawala wa Afrika kwa nguvu ya Facebook,watawala wajao watakuwa Wazungu au wa-Afrika hao hao. Kama ni Waafrika wengine basi hoja haina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi akatazwe mapema
 
K
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

mimi ni CCM ila katika watu tulionao wa hovyo Kwa sasa ni pamoja na Musiba, anaropoka utadhani hajawahi soma kabisa hata chekechea. Hajui kwauropokaji huu badala ya kuijenga CCM anaibomoa. Waondoe social media waone kama watapata hata kura robo. Social media zimeteka marika yote so any attempt to shut them down is to annoy the Tanzanian majority
 
Hiyo ni kweli kabisa,
Kwanza ameichonganisha CCM na watanzania,
Kawachonganisha viongozi wastaafu na wasasa,
Kawaida yake hiyo
 
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

Hatupaswi kusiliza wala kutilia manani ya huyo mlamba viatu Musimba huyo ajiandae kuhama nchi.Pamoja na kuajiri watu hunu JF watete ujinga wao lakini wanazidi kula hasara.
Musiba Bashite Le mutuz waseme siku Liasu anaahambukiwa walikua wapi?
Ingawa Le mutuz najua hawezi kuwa alishirikishwa
 
watu aina ya msiba ndio wanao fulahiwa na ccm hajaanza leo na hajawahi kanywa wote walio kwenye madaraka wanafurahia propaganda zake ila watanzania wa leo wanajua bivu na mbichi
ccm mpya hiyo msiba kawa msemaji wa ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi wengi kuwa wanaamini hayo unayotaka wafikiri.
Bibi yangu hadi kesho anaamini upinzani utaleta vita
 
Njaa imepanda toka tumboni hadi kichwani - kule sasa ubongo wake na njaa vimeshindwa kuishi pamoja - ndiyo sababu haongei kama binadamu wa kawaida - tumwombee sana Musiba - kila palipo na watu wanne mmoja ana kicha@
 
Ukiona exhaust pipe inatoa moshi mwingi weusi, ujue pasina shaka kuwa ubovu uko kwenye engine. Musiba ni exhaust pipe ila jiulize engine chakavu ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee masoud ana akili sana
FB_IMG_1542698983187.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom