Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
- Thread starter
- #21
Walianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA
Ni wakati wa kutofautisha kati ya mwanaharakati na mwanaharamuBasi msiba ni mwanaharakati
Kweli aisee musiba ni mwanaharamuNi wakati wa kutofautisha kati ya mwanaharakati na mwanaharamu
Ruto kijasho kilikuwa kinamtokaa mahakamaniWalianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA
Huoni anavyolichonganisha TaifaKweli aisee musiba ni mwanaharamu
Bila kumsahau yule mwana habari Arap Sang' na huu ni ujumbe murua kwa wana habari kama yule Musiba maana na yeye anaweza kujikuta yupo matatani
Kwani walihonga pesa yao au ni ya wakenya hao hao walioenda kuwashitaki, hasara ni ya wakenya wenyewe.
Kenya ni nchi ya mfano, sisi bado tunahangaika mpaka watu wasiokuwa na vyeti wanamfukuza ofisini Meya. Yaani Bashite ana mfukuza Meya wakati yeye mwenyewe hana vyetiWalianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA
Kenya ni nchi ya mfano, sisi bado tunahangaika mpaka watu wasiokuwa na vyeti wanamfukuza ofisini Meya. Yaani Bashite ana mfukuza Meya wakati yeye mwenyewe hana vyeti
Kwani vipi kikwete si alishitakiwa !Tumebakia sisi tu.
Nenda kamwambie Miguna wa Miguna labda atakuelewa.
Lkn kwa sasa Kenya ni mfano wa kuigwa sana kwenye haki za binadamu na demokrasia kwa ujumla bila kusahau maendeleo wenzetu wanapaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki gani wanamzuia miguna kurudi kwao?