Museveni sasa kushtakiwa ICC

Walianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA

Kwani walihonga pesa yao au ni ya wakenya hao hao walioenda kuwashitaki, hasara ni ya wakenya wenyewe.
 
Walianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA
Kenya ni nchi ya mfano, sisi bado tunahangaika mpaka watu wasiokuwa na vyeti wanamfukuza ofisini Meya. Yaani Bashite ana mfukuza Meya wakati yeye mwenyewe hana vyeti
 
Back
Top Bottom