Museveni ni rafiki yetu, tuongee nae mechi ijayo atuachie na sisi tutinge AFCON

wabongo wanavyomponda samata. lakini mimi nilipoona samata hatakwepo hata mechi sikuangalia kwani ni yeye tu ndo alikuwa anajituma mpaka alikuwa anakasirika sana,kwa uzembe wa wengine.sasa wamevuna walichokitaka
 
Tumtume jpm aende wakaongee Na Mu7 ili Waganda watuachie kama sie tulivyowaachia ARDHI yetu kupitisha bomba la mawese

Museveni na jiwe hawachekani, wote hawana ushawishi kwa raia zaidi ya matumizi ya nguvu. Labda tuongee na bob wine ndio atasikilizwa. Ingekuwa timu ya jeshi hapo Museveni angesikilizwa.
 
Bora tulivyofungwa huyu amunike , angejizolea ujiko wa kizembe, maana sahivi washind wote wa pili wanaqualify.
 
Tumtume jpm aende wakaongee Na Mu7 ili Waganda watuachie kama sie tulivyowaachia ARDHI yetu kupitisha bomba la mawese

Sisi hata tukimfunga uganda goli 200 then lesotho akashinda goli moja tu kwa CP sisi out. kitakachoangaliwa hapo ni sisi na Lesotho nani alimgonga mwenzie
 
Kimsingi tumeshatoka. Hao waganda hata wakiweka kikosi B sana sana tutapata sare. Mimi ushauri wangu tupromote singeli tuwaimbishe mpaka mamtoni. Hilo tutaweza. Mpira kazi ya wanaume. Sisi ni warembo mnoooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom