Museveni na Urais

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
5,075
4,520
Angalia gazeti la THE CITIZEN la jumatatu ya tarehe 21/07/2008 ukurasa wa 13,kuna kitu cha ajabu pale. Mseveni to stand in 2011- media.Ngoja nikupe na nukuu za msaidizi wake uone:why should we let him go? let us support him.let us support the NRM so that we continue in power: na aliwasihi members wa NRM kwa kusema; He will be available so I ask you to continue supporting him; Na alipoulizwa yeye kuwa kwa nini hagombei alijibu; How can I turn against my mentor? Huyu ni Prof.Gilbert Bukenya.

Jamani M7 anataka kugombea mara saba kama jina lake lilivyo? au anataka kulazimisha kuitwa father of (nation) East africa kama ambavyo alikwisha sema? Ugonjwa huu wa kung`ang`ani madaraka hauna daktari jamani?
 
Last edited:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom