Museveni na Kenyatta wafuata nyayo za Rais Magufuli Uganda kufufua shirika lake la ndege, Kenya yawabana wakwepa kodi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,750
Kiukweli Rais Magufuli amekuwa ni kiongozi wa mfano siyo kwa SADC tu bali Afrika kwa ujumla.

Kufuatia kufanya vizuri kwa ATCL nayo Uganda imeshawishika kulifufua shirika lake la ndege lililokuwa hoi kwa takribani miaka 18 sasa.

Naye Rais Uhuru wa Kenya ametangaza vita dhidi ya wakwepa Kofi nchini make na CG wa KRA ameiambia luninga ya Citizen kuwa wataanza kuwapandisha kizimbani hivi karibuni.

Je, hata ni matunda ya ziara binafsi za Rais Uhuru na Rais Museveni wilayani Chato hivi karibuni. Hapa Kazi Tu inatupaisha kimataifa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nate Rais Uhuru wa Kenya ametangaza vita dhidi ya wakwepa Kofi nchini make na CG wa KRA ameiambia luninga ya Citizen kuwa wataanza kuwapandisha kizimbani hivi karibuni.

Je, hata ni matunda ya ziara binafsi za Rais Uhuru na Rais Museveni wilayani Chato hivi karibuni. Hapa Kazi Tu inatupaisha kimataifa.

Maendeleo hayana vyama!
Umeishia vya kusifia mkuu
 
Kiukweli Rais Magufuli amekuwa ni kiongozi wa mfano siyo kwa SADC tu bali Afrika kwa ujumla.

Kufuatia kufanya vizuri kwa ATCL nayo Uganda imeshawishika kulifufua shirika lake la ndege lililokuwa hoi kwa takribani miaka 18 sasa.

Naye Rais Uhuru wa Kenya ametangaza vita dhidi ya wakwepa Kofi nchini make na CG wa KRA ameiambia luninga ya Citizen kuwa wataanza kuwapandisha kizimbani hivi karibuni.

Je, hata ni matunda ya ziara binafsi za Rais Uhuru na Rais Museveni wilayani Chato hivi karibuni. Hapa Kazi Tu inatupaisha kimataifa.

Maendeleo hayana vyama!
MATAGA..Mbwiga la Lumumba katika ubora wako.
 
Hivi Uhuru kipindi chake kinaisha hagombei tena eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom