Museveni na Kagame hawatokubali Serikali yoyote kupinduliwa na wasi hata kama wana madai ya haki .

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=2]Friday, November 23, 2012[/h][h=3][/h]

Viongozi wa Uganda, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sauti moja wamelitaka kundi la waasi la M23 lililouteka mji wa Goma siku ya Jumatatu usiku, kuondoka nmjini humo na hawatokubali mapinduzi dhidi ya serikali yeyote ya kanda ya maziwa makuu.


B6851643-89CB-437C-970B-730462B0C79B_w640_r1_s.jpg

Rais Museveni wa Uganda akiuliza watafanya nini ikiwa kundi litakata kuondoka alisema "wataona chamtema kuni".


Marais Yoweri Museveni, Paul Kagame na Joseph Kabila walizungumza na waandishi habari baada ya mazungumzo yao na kueleza kwamba ingawa wapiganaji wa M23 wanamadai yaliyo ya haki lakini hawawezi kutumia nguvu kupindua serikali iliyochaguliwa kwa njia ya kidemokrasia.


Rais Kabila amesema yuko tayari kuyasikiliza malalamiko ya waasi na atafanya kila awezalo kuyashughulikia.


Kwa Upande wake rais Kagame amesema kuhudhuria kwake mazungumzo hayo kunamaanisha anataka amani kwa kanda nzima, bila ya kutilia maanani sula la waandishi habari ikiwa anawaunga mkono wapiganaji wa M23.

Source: voaswahili.com

Posted by Ebou's at 6:06 AM
 
Kagame na Museveni ni wasanii tu.. these tutsi are dangerous, watu ambao si wakuwaamini hata mara moja. Kiongozi wa hao M23, Bosco Ntaganda, alikuwa moja ya makamanda wa RFA wakati wanavamia Rwanda kutoka Uganda.. so he is their ally and they are supporting him (their fellow tutsi) ili kukamilisha ndoto zao za "expansionism". Kwa wale wanaokumbuka, ndoto zao zilikuwa kuanzisha "Bahima Empire"
 
Sawa Kagame na Museveni kwa mliyosema, lakini kwetu sisi "action speaks louder than words". Tunasubiri tuone you two walking your talk.
 
Kagame na Mseveni ni zaidi ya wahuni hao yaani wao ndo M23 wenyewe
 
Back
Top Bottom