Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,389
Amekutukana kwani???!...mbona unapanic mzee!!!.You Idiot, stop fooling yourself and fellow stupid citizens. Sina tabia ya matusi na ukali napochangia hoja lakini members mtanisamehe hapa. Hivi inawezekana vipi rate ya maambukizi ikaanza kupungua wakati parent source ya uzalishaji virusi haijaanza hata kushughulikiwa hata kidogo?. Mimi ninavyojua kama unatakakupambana na tatizo lolote unatakiwa kufuata process zifuatazo:- 1. Identify the problem 2. Identify the root cause 3.Design measures to up root the problem by elimination of root cause completely to avoid non- re occurence. 4. Then rekebisha madhara yaliyosababishwa na tatizo hilo kabla ya kugundulika na kushjghulikiwa. Sasa wewe Idiot (ISEMBO) Kabisa unawapeleka chaka watanzania wote kuwa korona itapungua na itaisha bila hatua nilizotaja hapo juu kuchukuliwa?.!!!! Hakika hatutakaa tufanane pamoja na mtukufu rais JPM kutamani kuona watanzania wote wanasubiriana mpaka wote wafanana. To hell with your stupidity.
Sent using Jamii Forums mobile app
...