#COVID19 Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuimport chanjo zaidi ya walioleta

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuwataka kuimport chanjo zaidi ya walioleta.

Asema walimwambia kazi ya Africa ni ku import sio kutengeneza akasema nikawagomea kuwa ikiisha hiyo mliyoleta tunatengeneza yetu !!! Wafanyakazi wetu wa serikali wanaweza ila tu hawana confidence!!! Wafanyakazi wa serikali ya Tanzania mpoo?

Pili kasema atafungua kikamili watu kuwa huru kila mtu kuwa huru baada ya kuchanja chanjo ya Corona watu milioni nne na kitu sasa hivi wamechanjwa watu laki tatu na kitu.

Source TBC live
 
Nyie huko Tanzania si ndiyo mpo mstali wa mbele kupinga maamuzi ya tiba zenu?.

Ngoja Museveni atengeneze ndipo mnunue yake!.
 
Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuwataka kuimport chanjo zaidi ya walioleta.

Asema walimwambia kazi ya Africa ni ku import sio kutengeneza akasema nikawagomea kuwa ikiisha hiyo mliyoleta tunatengeneza yetu !!! Wafanyakazi wetu wa serikali wanaweza ila tu hawana confidence!!! Wafanyakazi wa serikali ya Tanzania mpoo?

Pili kasema atafungua kikamili watu kuwa huru kila mtu kuwa huru baada ya kuchanja chanjo ya Corona watu milioni nne na kitu sasa hivi wamechanjwa watu laki tatu na kitu.

Source TBC live
Wkwan si tayari washa dungwa astrazeneca !! Iyo dozi ya pili yenyewe bado
 
Hata boss wa WHO alichanjwa lakini watu hawa amini mpka Leo kama lile tukio lilikuwa ni la kweli
 
Back
Top Bottom