YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuwataka kuimport chanjo zaidi ya walioleta.
Asema walimwambia kazi ya Africa ni ku import sio kutengeneza akasema nikawagomea kuwa ikiisha hiyo mliyoleta tunatengeneza yetu !!! Wafanyakazi wetu wa serikali wanaweza ila tu hawana confidence!!! Wafanyakazi wa serikali ya Tanzania mpoo?
Pili kasema atafungua kikamili watu kuwa huru kila mtu kuwa huru baada ya kuchanja chanjo ya Corona watu milioni nne na kitu sasa hivi wamechanjwa watu laki tatu na kitu.
Source TBC live