Museveni asema Spidi ya magufuli ni ya ajabu(video)!

Ni kweli kabisa, ila suala la mameya na uchaguzi wa zanzibar linashusha heshima yake
 
Wote wamepora ushindi, wote wanakandamiza upinzani, wote wabakaji wa demokrasia kwa nini wasipongezane?
 
Nakubali hoja ya kwamba kasi ya JPM inaleta matumaini ingawa bado hatujaona matunda yake. Sema kufurahia kwamba amesifiwa na Museveni ndio nitakishangaa. Museveni sio mfano bora wa kujivunia kwamba amemsifia Raisi wetu
 
Back
Top Bottom