Museveni asafiri kwa economy class akirudi nyumbani kutoka US | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Museveni asafiri kwa economy class akirudi nyumbani kutoka US

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mfianchi, Dec 8, 2009.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Raisi Museveni alisafiri kurudi nyumbanii kwenye daraja la walalahoi aliposafiri na ndege ya British Airways alitaka kujua kama kuna shida yoyote ambayo inawafanya maafisa wa serikali wasipende kusafiri katika daraja la Economy ambalo akina yakhe ndio husafiria ,hizo zilikuwa ni salamu kwa maafisa wake kuwa siku za kupanda ndege daraja la kwanza ndo byebye sijui hapa bongo hilo linawezakana kwa maafisa waliozoea utukufu wa kujifanya tofauti kama watapanda hilo daraja la akina yakhe wanapoenda kutafuta wawekezaji ili kutuletea maisha bora!
   
Loading...