Museveni appoints wife Janet Education Minister

Kampala. It is not the first time. It happened with his first cabinet when he appointed people such as Democratic Party’s Kawanga Ssemwogerere.
In the Cabinet released yesterday evening, President Museveni appointed Uganda People’s Congress’ Beti Amongi and Uganda Federal Alliance’s Betty Kamya to the ministries of Lands and Kampala respectively.
Another is Ms Nakiwala Florence Kiyingi who he appointed State minister for Youth and Children Affairs. She belongs to the Democratic Party and postured as Go forward sympathiser during the just concluded presidential campaigns.

State House view
Explaining the appointments, presidential spokesperson Don Innocent Wanyama said the President has never had difficulty working with people from the Opposition.
“The important thing is that the appointees appreciate what he expects of them and they will deliver on those expectations,” Mr Wanyama said.
He added: “The key Opposition appointees here are Betty Kamya and Beti Amongi. These two women have a solid political track record. Their ability to deliver, therefore, is not doubtable.

Their style of opposition is not abrasive, dismissive and abusive like most other Opposition politicians. They are sober and the President working with them shouldn’t be difficult.”
Ms Kamya was once with the Forum for Democratic Party before disagreeing with its leadership and later forming her own party, the Uganda Federal Alliance, on whose ticket she contested for the presidency in 2011. She unsuccessfully contested for Rubaga North parliamentary seat, a constituency she had represented before in the House.
Ms Amongi, on the other hand, started off as Apac District representative in Parliament and later moved on to represent Oyam South.
 
Botha wa sauzi ni mkweli, Donald wa usa fikra zake ni chanya.
 
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Amefanya Mabadiliko ya Kushtukiza Kwenye Baraza lake la Mawaziri ambapo Amemteua Mkewe Janeth Kaataha Mu7 Kuwa Waziri Katika Wizara Nyeti ya Elimu Nchini Humo

Africa highlights: Museveni makes wife minister, -BBC

Familia ya Museveni (son of the man of seventh) imejaliwa kuwa na watoto watatu na mwanae mkubwa Brigedia Muhoozi Kainerugaba (wa kati pichani) ndiye Kamanda Mkuu wa Kikosi Maalum cha Ulinzi Nchini Humo


 
Dah.. inabidi upinzani usalimu amri tu maana hakuna kwa kutokea njia zinazidi kuzikwa..!
 
Kwan huyo Mama ndo yule Mmeru mamake na Muhoozi? au yule waliachana? namzungumzia yule aliyempata wakat M7 mwalimu Arusha huko? kama ndiye safi.
 
African tunatengenezaga machafuko wenyew halaf tunawalaum wazung hata km n mtendaj mzur bt kuna conflict of interest hawez kumuadhib au huy mama atarelac sana
Mkuu sina cha kuongeza kwenye uzi wako zaidi ya kusema Mungu akubariki kwa kuwa muwazi tofauti na unafiki wetu waafrika
 
Mbona wengi sana?

Hata mimi nimeshindwa kuona logic behind all these!!! Labda ugunduzi wa mafuta nchini mwao ndiyo kunawafanya wasijali ukubwa wa Cabinet - wanafikiri kwao hela si tatizo tena, they can spend, spend.....

Kitu kingeni ninacho kiona mimi, inaelekea M7 amekwisha kata shauri kwamba hii ni term yake ya mwisho kukaa madarakani ndio maana ame create Wizara nyingi kulipa fadhila kwa watu/kabila/mkoa iliyo pata dhaluba kubwa wakati wa vita vya msituni baina ya kikundi chake na Serikali ya Obote ndiyo maana kuna Wizara za ajabu ajabu mfano:w Wizara ya Lowero Triangle, Waziri wa mji wa Kampala nk, vile vile hakuwasahau washikaji/comrade wake wengi - mwisho wa siku anataka wafaidi kabla hajang'atuka - hayo ni maoni yangu.

Binafsi sioni mantiki nyingine ya kuwa na Baraza la Mawaziri chungu nzima, wanakuwa na Mawaziri kuliko nchi kama Merikani yenye population zaidi ya 300 Millioni, wakati Waganda hawazidi million arobaini.
 
Halafu museveni ndio anaongoza kampeni afrika ijitoe kwenye mahakama ya ICC.
 
Hatari sana, Labda Mh. Museveni ''amejaribu'' kugawa vyeo kwa kufuatana na wilaya zote za Uganda zipatazo 111 Maps & Regions | Uganda National Web Portal zipate mwakilishi bila kusahau ''mkoa'' wa majeshi pia wamepatiwa mgao.

Gharama za ulinzi kwa vigogo hawa wateuliwa ni kubwa pia mbali ya mshahara, marupurupu suala la ulinzi kwa wateule pia ni nyeti sana Uganda hivyo kila mmoja atapata mabodigadi na msafara mkubwa wa magari.
 
Back
Top Bottom