Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,054
- 23,505
*****
Pichani Rais Uhuru wa Kenya
akimsikiliza rafiki yake Mhe.
Museveni Rais Uganda akitoa
kauli ya mwisho kuwa mradi wa
Bomba la Mafuta ghafi utapita njia
ya kaskazini mwa Tanzania hadi
bandari ya Tanga. Kauli hiyo
imetolewa Jana saa 7 mchana
katika mkutano wa 13 wa
Northern Corirodor uliofanyika
Munyonyo nje kidogo ya jiji la
Kampala. Rais mtukufu JP magufuli.
akuhudhulia.