Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,383
Sasa kuna General ambae hana wapiganaji
General haiwezi pindua bila support ya wapiganaji
General haiwezi pindua bila support ya wapiganaji
Basi Kutakuwa na tatizo mahali maana kiukweli upandaji katika hizo ranks unabase katika operations alizofanya mpandaji huyo.