Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 27,944
- 74,208
Four star mkuu, au Uganda wao wanatumia mfumo wa five star?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Four star mkuu, au Uganda wao wanatumia mfumo wa five star?
Ahsante kwa masahihisho nilipitiwa kidogo .Four star mkuu, au Uganda wao wanatumia mfumo wa five star?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Jeshi sio siasa dogo la. Kupiga domo ni vitendo kwenye field! Aliyeongoza vita ana uzoefu kuliko aliyekaa darasani! Mark thatMkuu ukijua wewe tu inatosha. Nilichotaka kukwambia ni kuwa kupanda vyeo hakutokani na kufanikisha mission bali ni kuhudhuria kozi mbali mbali za uongozi wa juu, kufaulu mitihani, kutokana na hitajio lililopo na vile vile akiona rais inafaa.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Dogo, mark my words, naongea kwa experience sio kama naongea tu. Wewe ndio unaingiza siasa, hivi unajua kuwa tanzania hii kuna watu waliajiriwa 2010 sahv ni Mameja? Endelea kuamini uaminivyoJeshi sio siasa dogo la. Kupiga domo ni vitendo kwenye field! Aliyeongoza vita ana uzoefu kuliko aliyekaa darasani! Mark that
Kuna elimu ya kijeshi, kuna muda wa kukaa na cheo, kuna kozi za ukamanda na unadhimu kuna mitihani na kuna hitajio pamoja na rais mwenyewe kuamua.Jeshi sio siasa dogo la. Kupiga domo ni vitendo kwenye field! Aliyeongoza vita ana uzoefu kuliko aliyekaa darasani! Mark that
Wapendwa wanajamii na ndugu member muanzisha huu uzi pamoja na wote mliotoa michango yenu humu, Kwa dhati ya moyo wangu naomba nawaomba radhi kwa yale yaliyotokea maana sikupenda kufanya haya niloyafanya kwa makusudi. Mnisamehe sana.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kuna member mmoja hivi nilitukanana nae, binafsi sina tabia hizo ila aliniudhi kupitiliza. Nikajikuta natamka matusi mazito mazito.Umefanya nini kwani?
Kuna member mmoja hivi nilitukanana nae, binafsi sina tabia hizo ila aliniudhi kupitiliza. Nikajikuta natamka matusi mazito mazito.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ni kwenye uzi huuoooh pole kijana
Ndio purukushani humu sema JF walifanikiwa kuwatokomeza warusha matusi ila bado matukio yapo yapo humu
Labda hukuwepo kipindi hicho watu na IDs mpya walikuwa wanaporomosha sana matusi humu ikawa Mods wana kazi ya kufuta comments na kuwapiga Ban na kuunganisha IDs
Ingekuwa bora kama ungelikuwa unajua namna mtu anavyopadishwa cheo/vyeo ktk jeshi la uganda kuliko kulopoka usilolijuamuseveni anacho fanya ni hovyo (hii ni kwa kuwa sina madaraka)
ila nikiyapata ningefanya ivo ivo
NB.hakuna mzazi anayeweza mpa mwanae nyoka kama ataomba samaki
wananchi Uganda
Takriban maafisa 2,000 wa kijeshi wamepandishwa ngazi katika mabadiliko yaliofanywa Ijumaa Februari 8, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Miongoni mwa wale waliopandishwa ngazi ni pamoja na mwanawe Museveni Muhoozi Kainerugaba.
Muhoozi aliteuliwa kuwa Luteni Jenerali pamoja na majenerali wengine 10.
Ingawa Muhoozi yuko na mafunzo ya juu sana ya kijeshi, kupandishwa kwake kwa madaraka kwa muda mfupi umezua hisia mseto miongoni mwa wananchi Uganda.
Wakosoaji wa rais huyo mwenye umri wa miaka 87 wanaamini kuwa Muhoozi anaandaliwa kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwa babake punde atakapostaafu.
Muhoozi alianza mafunzo yake ya kijeshi mwaka wa 1994 punde tu alipomaliza masomo ya sekondari, alijiunga na jeshi mwaka wa 1999 na akaandikwa kazi katika jeshi la Royal Military Academy Sandhurst kule Uingereza.
General ambapo ndo top katika jeshi.Baada ya lt Jenerali kinafuatia cheo gani?
Kwaafrica Siyo story hiiwananchi Uganda
Takriban maafisa 2,000 wa kijeshi wamepandishwa ngazi katika mabadiliko yaliofanywa Ijumaa Februari 8, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Miongoni mwa wale waliopandishwa ngazi ni pamoja na mwanawe Museveni Muhoozi Kainerugaba.
Muhoozi aliteuliwa kuwa Luteni Jenerali pamoja na majenerali wengine 10.
Ingawa Muhoozi yuko na mafunzo ya juu sana ya kijeshi, kupandishwa kwake kwa madaraka kwa muda mfupi umezua hisia mseto miongoni mwa wananchi Uganda.
Wakosoaji wa rais huyo mwenye umri wa miaka 87 wanaamini kuwa Muhoozi anaandaliwa kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwa babake punde atakapostaafu.
Muhoozi alianza mafunzo yake ya kijeshi mwaka wa 1994 punde tu alipomaliza masomo ya sekondari, alijiunga na jeshi mwaka wa 1999 na akaandikwa kazi katika jeshi la Royal Military Academy Sandhurst kule Uingereza.
Wakosoaji wa rais huyo mwenye umri wa miaka 87 wanaamini kuwa Muhoozi anaandaliwa kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwa babake punde atakapostaafu.
General haiwezi pindua bila support ya wapiganaji