Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Luteni Jenerali

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,266
wananchi Uganda

Takriban maafisa 2,000 wa kijeshi wamepandishwa ngazi katika mabadiliko yaliofanywa Ijumaa Februari 8, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni

Miongoni mwa wale waliopandishwa ngazi ni pamoja na mwanawe Museveni Muhoozi Kainerugaba.

Muhoozi aliteuliwa kuwa Luteni Jenerali pamoja na majenerali wengine 10.

Ingawa Muhoozi yuko na mafunzo ya juu sana ya kijeshi, kupandishwa kwake kwa madaraka kwa muda mfupi umezua hisia mseto miongoni mwa wananchi Uganda.

Wakosoaji wa rais huyo mwenye umri wa miaka 87 wanaamini kuwa Muhoozi anaandaliwa kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwa babake punde atakapostaafu.

Muhoozi alianza mafunzo yake ya kijeshi mwaka wa 1994 punde tu alipomaliza masomo ya sekondari, alijiunga na jeshi mwaka wa 1999 na akaandikwa kazi katika jeshi la Royal Military Academy Sandhurst kule Uingereza.
 
museveni anacho fanya ni hovyo (hii ni kwa kuwa sina madaraka)

ila nikiyapata ningefanya ivo ivo

NB.hakuna mzazi anayeweza mpa mwanae nyoka kama ataomba samaki
 
Kama amekizi vigezo amna shida
 
museveni anacho fanya ni hovyo (hii ni kwa kuwa sina madaraka)

ila nikiyapata ningefanya ivo ivo

NB.hakuna mzazi anayeweza mpa mwanae nyoka kama ataomba samaki
Acha Ubwege wewe mtu kaanza jeshi toka Mwaka 1994 unataka abaki asipandishwe cheo kisa Baba yake ni Rais? Angekuwa mwanasiasa pia mngesema Uongozi wa Kifalme
 
wewe ni punda wa dobi, umekurupuka kutoa uharo
 
Acha Ubwege wewe mtu kaanza jeshi toka Mwaka 1994 unataka abaki asipandishwe cheo kisa Baba yake ni Rais? Angekuwa mwanasiasa pia mngesema Uongozi wa Kifalme
Mwaka 1994 na kuwa luten general sio sawa mkuu

Kwa Tanzania luten general ni kaimu mkuu wa majeshi (ni cheo cha pili kwa ukubwa)

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cheo cha Luteni jenerali ni kwa mtu ambae amelitumikia jeshi kwa miaka isiyopungua 20 mbona huyo Kainerugaba anatumikia mwaka wa 25 huu

Kwenye nchi yetu cheo hicho pamoja na cha full general kiko reserved kwa ajili ya muundo wa kimadaraka jeshini
 
Kiufupi muhooz hakuwa na sifa za kuwa luten jeneral

Leta facts kijana otherwise maneno yako yatakuwa full reflection ya chuki tu

Nimekupa facts hapo kuwa according to standards za muingereza miaka 20 ya kutumikia jeshi inatosha kwa mtu kuwa na sifa za kupewa rank ya lt gen

Huyo Kainerugaba huu ni mwaka wake wa 25 jeshini sasa!
 
Watu wengi walikuwa wanajua kuwa meja jeneral masunge ndio alikuwa na sifa za kuwa luten jeneral maana katumikia jeshi kwa miaka mingi(28) Na kafanya operation nyingi kwa mafanikio makubwa pia ndie alianza kumtilia mashaka kayihura

Muhooz hana operation magumu hata moja aliyofanya
Leta facts kijana otherwise maneno yako yatakuwa full reflection ya chuki tu

Nimekupa facts hapo kuwa according to standards za muingereza miaka 20 ya kutumikia jeshi inatosha kwa mtu kuwa na sifa za kupewa rank ya lt gen

Huyo Kainerugaba huu ni mwaka wake wa 25 jeshini sasa!

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Watu wangu walikuwa wanajua kuwa meja jeneral masunge ndio alikuwa na sifa za kuwa luten jeneral maana katumikia jeshi kwa miaka mingi(28) Na kafanya operation nyingi kwa mafanikio makubwa pia ndie alianza kumtilia mashaka kayihura

Muhooz hana operation magumu hata moja aliyofanya

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Basi Kutakuwa na tatizo mahali maana kiukweli upandaji katika hizo ranks unabase katika operations alizofanya mpandaji huyo.
 
Hapo ni kweli lazima kuna tatizo sehemu angalia kwa mfano sifa za luten jeneral mstaafu wa jw mwakibolwa operation alizoendesha hasa hii ya m-23

Back
Top Bottom