Museveni alarmed by human capital flight

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,048
Posted Date:: 15.11.2007 @00:02 EAT

Museveni alarmed by human capital flight

President Museven
By Zephania Ubwani, Arusha
The Citizen

President Yoweri Museveni of Uganda told an international forum held here recently that human capital flight out of Africa is alarming.

He said the flight continues unabated and that the trend should be checked as the continent is losing a formidable force.

He told the 4th African World Business Congress
that an estimated 20,000 doctors, university lecturers, engineers and other professionals are leaving the continent annually since 1990.

"There are currently over 300,000 highly qualified Africans in the Diaspora, 30,000 of these are PhDs holders, he said in a speech read on his behalf by the Ugandan minister of state, Foreign Affairs Mr Isaac Musumba.

Africa is losing its skilled workforce, while the
continent is spending $4 billion(Sh4 trillion) a year to employ 100,000 experts from the Western countries to perform generically described as technical assistance.
He told over 400 business executives from across the world that the amount of money spent by African countries to hire foreign technical experts represented 35 per cent of total official development aid to the continent.

Mr Museveni said for Africa to advance, it must tape and utilise the scientific and technological knowledge and skills of the African Diaspora. He said the African Union has declared Africans in Diaspora a formidable force for the continent's transformation.

The World Bank, in its Global Development Finance 2005 report, indicated that remittances to developing countries from overseas residents and non-resident workers increased to $126 billion(Sh126 trillion) in 2004.

The Ugandan leader said in order for foreign direct investment and capital to bring any meaningful transformation to the continent, the international trade must be transparent and relevant.

He said although export growth from the continent has more than doubled in the last ten years with the demand for African manufactured goods increasing in Europe and the US, poverty was still rampant in the continent.

"Poverty in many countries on the continent is still rampant, making economic growth fragile. Domestic savings rates remain will be below the levels required to grow at the target rate of seven per cent," he said.

The situation, according to him, has been compounded by natural disasters such as floods and droughts, external shocks such as the recent increase in oil prices and cross border spillovers of civil conflicts.

He said Uganda has opened doors to foreign investors in order to attract the requisite investment and capital. Recently, the country licensed close to 4,000 entrepreneurs committing over $ 8bn(Sh8 trillion)in actual investment. In FDI, Uganda received $307 million about Sh307 trillion) in 2006 which was an increase of $50 million about (Sh50 trillion) from the level of 2005.

Tanzania received FDI amounting to $473 million (Sh473 trillion) last year, according to the director general of the Tanzania Investment Centre, Mr Emmanuel ole Naiko.

President Museveni said Uganda has recorded a Gross Domestic Product growth averaging 6.5 per cent over the last 10 years. During the same period inflation has been put under control and has maintained a single digit.

"There are no restrictions to 100 per cent foreign ownership of investments and no barriers to remittance of dividends," he said, adding that the foreign exchange market has been wholly liberalised since the late 1990s.

Uzalendo wa kupokea shilingi mbili eti kwa sababu naitumikia nchi yangu mimi sina hata kidogo.

Siku ya kurudi kwetu nitafanya hivyo kwa utashi wangu si kwa kuhisi nchi yangu inanimisi.

Wengine tulikimbia vipato duni na kudharauliwa.

Heri nilaumiwe kwa kukimbia nchi kuliko kufedheheshwa na hali duni na mshahara kichele usokidhi mahitaji.
 
Angalia mfano wa Tanzania, ni kitu gani ambacho Botswana, Namibia wanatuzidi!? Lakini wanawalipa vizuri madaktari wetu kuliko wanavyolipwa nchini kwetu. Kwetu kwa kuwa vingunge wanatibiwa nchi mbali mbali duniani ikiwemo UK, US, Afrika kusini n.k. hawajali kabisa kuboresha mishahara na marupurupu ya Madaktari na kuwapatia vitendea kazi. Wanachojali viongozi wetu ni kufuja mali bila haya wala woga. Mpaka hapo watakapofumbua macho na kuwajali wataalamu wa Kitanzania, wataendelea kuondoka tu.
 
Pamoja na hii..."the amount of money spent by African countries to hire foreign technical experts represented 35 per cent of total official development aid to the continent" said Museveni.

Bado wapo watanzaia na wengine humu J.F ambao wanaamini kuwa hire ma expert! Sasa hao 300,000 hawawezi kuja chukua nafasi za hao maexpert? ni vizingiti vipi vinavyowafanya wasirudi?
Kwa kweli hii inasikitisha pale ukizingatia kwamba wapo watu bado wanataka serikali zetu kupeleka watu kusoma nje...wengi wa hao waliopo nje wamesomeshwa na serikali husika lakini hawajarudi!
 
Mimi nadhani cha muhimu ni kuangalia jinsi ya kuhakikisha wataalam( si madaktari tuu, katika nchi kama zetu manesi, mafundi mchundo nao ni wataalam) walio ndani wasiondoke. Badala ya kukazania mshahara tuu ( ambao pengine hatutaweza kushindana na nchi nyingine),tuhakikishe wanapatiwa nyenzo za kutumia utaalam wao. nyenzo hizi ni pamoja na nafasi za kujiendeleza kitaaluma, vitendea kazi, mazingira bora ( ofisi zenye vyoo vinavyofanya kazi n.k), heshima na kuthaminiwa ambako ni pamoja na kupewa nafasi ya kutoa ushauri wao ambao utasikilizwa ( pale utakapoonekana haufai, aelezwe sababu), kuondoa "glass ceilings"(mtaalam ajue kuwa ataweza kuendelea katika fani yake kadri ya uwezo wake-kwa kifupi, akiwa makini katika kazi yake atapandishwa cheo, atapewa nishani n.k). Sidhani wale ambao wako nje katika nafasi nzuri watarudi, ni kujidanganya.
 
Mkuu hayo uliyoyaongea ndiyo kweli tupu! Aliyeko UK na US tusimtegemee sana,, bali tuwawezeshe wale tulio nao hapa tuwathamini wajione kama part ya system, hapo wengi wetu wataona umuhimu wa kubaki nyumbani na kufanya kazi. Tatizo wengi wanaondoka kwa sababu moja kubwa "frustrations". mtu una phd yako uliyoisotea kwa miaka kibao na suluba kubwa, lakini unaamrishwa na mtu wa form four. Kinachotakiwa ni nchi zetu kubadilika tuweke mbele uwezo wa mtu na si vinginevyo. matokeo yake ndo hayo unakuta professa anaacha familia yake anakwenda kufanya kazi na ngo hukooooo mbali.

tunahitaji kubadilika. kama unaona mzungu $$2000 haimtoshi, kitu gani kinakufanya uamini kwamba mi Masanja zinanitosha kama sio ubaguzi?

Ushauri wa bure nyinyi mlioko nje muache kulinganisha mishahara na vipato vya huku kwetu na huko mliko. Tupiganie favourable working conditions. Usitegemee kubeba box kwa Bakhresa akupe $ 10 kwa saa! tuache illusions, tupiganie vilivyo realistically achiavable kama ku-improve mazingira ya kazi na mengineyo.
 
Inategemea nani kakusomesha miaka yote uliyosoma, siwezi kujisomesha kwa kubeba box kisha nikarudi Tanzania kulipwa laki tatu eti kisa uzalendo.
It is all about the benjamin..... Show me the money
 
Nikiongezea. Mahakama za mwanzo nyingi zilikuwa hazina vyoo. Hakimu akitaka kujisaidia inabidi aende nyumba ya jirani! Mahakama inavuja. Chumba cha kufanyia kazi ni kidogo na watu wakijazana, nadhani wenyewe wanaita chambers, joto lake usiombe. Maofisi mengi samani zinatia aibu. Nenda kaangalia wodi zetu, vyumba vya kuonea wagonjwa-hazijapakwa rangi miaka nenda rudi, mapazia yamechoka n.k. Kaangalie ofisi za serikali. Nakumbuka ofisi ya makao makuu ya magereza walikuwa wamebanana sio kawaida. Usafiri wa kuaminika kwa watendaji, hata kama ni wa kushirikiana. Tunachokifanya tunaangalia ofisi za viongozi, ambazo tunahakikisha ni "self-contained" wasipate adha kama wafanyakazi wengine, samani za bei mbaya na gari la kifahari. Ukitokea mkutano, warsha ambayo ingemfaa mtaalam, anaenda kiongozi au mtu mwingine kwa sababu ambazo haziwekwi wazi. Na safari kama ni ya kwenda nje, usiombe kabisa. Mashine ya kutoa nakala inakaa kwa bosi, na mara nyingi karatasi hamna. Kiongozi wako, ambaye si wa taaluma yako, anataka kukuendesha katika taaluma. Unaangalia unaona nafasi zote za juu zinashikwa na watu wasio wa taaluma, hii inamaana hautaweza kufikia hatamu ya taaluma yako. Halafu leo, utendaji wako unalinganishwa na mtu anayelipwa mamilioni, ana kiyoyozi ofisini kwake au ambaye aliondoka zamani kuelekea ughaibuni. Sasa wewe nafasi ya kutoka ikitokea, utasubiri nini? Pengine ukiwa nje ndio utathaminiwa!
 
Inategemea nani kakusomesha miaka yote uliyosoma, siwezi kujisomesha kwa kubeba box kisha nikarudi Tanzania kulipwa laki tatu eti kisa uzalendo.
It is all about the benjamin..... Show me the money

Nakubali Mheshimiwa, kwa wengi wetu "it is all about the Benjamins". Lakini kuna wengi tuu ambao kwa sababu tofauti wanabaki nchini. Amini usiamini, bado kuna wengine wanaamini kuwa ni bora wabaki nyumbani kutumikia jamii yao. Wote hawa wana nafasi katika jamii yetu. Wewe ambae utakusanya benjamins uko uliko, ukijenga kibanda, ukimsomesha mdogo wako, ukileta taksi bubu, yote sawa tuu. Mimi namzungumzia yule mwenzetu aliyebaki nyumbani, kutuangalizia ndugu zetu n.k. Huyu basi athaminiwe na kuheshimiwa kuliko kutukazania sisi tulio nje tukzikusanya Benjamins!
 
Unatumikia jamii wakati watoto wanalala njaa, uwezo wa kuwasomesha shule na kuwapatia maisha mazuri huna. Unapokuwa una wasi wasi kazini kuhusiana na watoto watakula nini, ada ya shule ya Robert nitatoa wapi, kodi ya nyumba ya mwezi huu nitatoa wapi. Carol anaumwa hospitali nako kunataka pesa, vyote hivi vinachangia kuharibu performamnce yako na hatimaye ya Taifa zima. Show Tanzanians the MONEY....It's all about the BENJAMINS! Kama wabunge wanastahili kulipwa mishahara minono basi na Watanzania wote wanastahili kulipwa mishahara na marupurupu mazuri ili waishi maisha bora.
 
Unatumikia jamii wakati watoto wanalala njaa, uwezo wa kuwasomesha shule na kuwapatia maisha mazuri huna> Unapokuwa una wasi wasi kazini kuhusiana na watoto watakula nini, ada ya shule ya Robert nitatoa wapi, kodi ya nyumba ya mwezi huu nitatoa wapi. Carol anaumwa hospitali nano kunataka pesa, vyote hivi vinachangia kuharibu performamnce yako na hatimaye ya Taifa zima. Show Tanzanians the MONEY....It's all about the BENJAMINS! Kama wabunge wanastahili kulipwa mishahara minono basi na Watanzania wote wanastahili kulipwa mishahara na marupurupu mazuri ili waishi maisha bora.

Hakuna mtu anayeweza kupinga kuwa kuna haja ya kuwapatia watu mishahara inayolingana na hali ya maisha ya nyumbani. Kwa kuzingatia hilo, tumekuwa tunaanzisha miradi na wakala katika serikali(TRA,BOT n.k) ambamo watu wanalipwa hayo mabenjamin, tukasahau watendaji wengi ambao mazingira yao ya kutendea kazi yanasikitisha.Ninachosema ni kuwa si mishahara tuu, ni pamoja na mazingira bora ya kufanya kazi ndiyo yatakayotuondoa katika haya matatizo. Watu wanaweza kubangaiza ili wamudu maisha lakini utwezaje kuondoa frustrations ambazo zinatokana na kutothaminiwa. Hata huko ughaibuni si wote wanaopata mshahara wa kuwatosheleza. Watu wanahangaika lakini wanajua wakiajiriwa wanajua watathaminiwa kutokana na uwezo wao na si vingine.Utapatiwa mazingira ya kudiliva na kama hautadiliva hawatasita kukutosa! Mishahara ya wabunge hainibabaishi kwani nikiitaka nitagombea ubunge. Ninachodai ni kuthaminiwa kama mtu mwenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya nchi yangu.Kuthaminiwa huku kunaendana na mshahara ambao naelewa nchi yangu wanaweza kumudu kunilipa na si vinginevyo! Mishahara ya kufuru sina haja nayo.
 
Mr Museveni, for people to love their country, a country has to be lovable!

Hapa ndipo tunapokosea. Nchi si uongozi. Nitaendelea kuipenda nchi yangu hata aje nani kuiongoza. Nitaendelea kuipenda nchi hii hata kama nitaona inaelekea kubaya. Nitaendelea kuwa na uchungu na nchi hii hata kama nitakuja kuishi mbali nayo! Hakuna mtu katika dunia hii atakayeweza kunifanya niichukie. Natumaini hawa wote wanaochangia humu ndani ni mapenzi ya nchi yao yanaowasukuma hata kama wako mbali. Na hivyo ndivyo itakavyoendelea kuwa.
 
...this simple,kwanza mjue hakuna mtu anataka kukaa huku ughaibuni as a second rate citizen ila tatizo ni hao mafisadi walioshika nchi,hivi kwa akili yenu mimi na MBA yangu from UCLA nirudi huko then mafisadi wanipost kufanya kazi Sumbawanga kwa laki tatu huku wao wakisukuma big SUVs na wakijichotea bila huruma,sorry ngoja tuzichume huku huku life is to short kuhangaika kiasi hicho just for uzalendo,tutasaidiana kupiga ngoma humu JF labda itasaidia na kutuma $$$ kusomesha cousins back home ndio mchango wangu wa sasa!
 
Mkuu! Wewe na MBA yako ya UCLA hautapangiwa kituo Sumbawanga. Nyie waheshimiwa mtagombewa na makampuni ya kigeni( mabenki n.k), mtalipwa mishahara minono, mtaendesha hayo maSUV na kama mtaenda serikalini, mtapangiwa kwenye projects kama consultants na kuendelea kuvuta! Baada ya muda utabembelezwa kugombea ubunge maana nyinyi ndugu zetu ndio tunategemea mtaweza kuelewana na hao wakina Benki ya Dunia walioshika uchumi wetu. Hao mnaowalani humu ndani, wakina Balali n.k wote walikuwa huko ughaibuni wakaja kutukomboa sisi tuliobaki huku. Maana wenzetu mmeona mengi. Hapana, namzungumzia yule mwalimu wa msingi, yule medical assistant, yule afisa kilimo, yule hakimu wa mahakama ya mwanzo na watu kama hao ambao hawana jinsi isipokuwa kubaki Sumbawanga. Hao wanaohudumia sehemu kubwa ya hii jamii ya watanzania. Nyie wenzangu? Endeleeni kupeta na mkitukumbuka mtutupie hivyo vibenjamin vya kuwasomesha ndugu zetu katika shule zetu za "academy" na baadae waje wajiunge na nyie huko ughaibuni. Tusidanganyane, hakuna mshahara ambao utaweza kupewa na serikali ya Tanzania utakaolingana na mishahara ya huko. Wanachoweza kufanya ni kukupa heshima unayostahili kama raia wa nchi hii. Uamuzi ni wako. Hao watu wa Kibondo na Sumbawanga wala hawajui kuwa kuna watu wana MBA ya UCLA. Wao wanajitahidi kuishi siku hadi siku. Ni sisi wasomi ndio tutaendelea kupokezana zamu kuwa mafisadi!
 
1. Good working conditions, Daktari hahitaji tu mshahara poa, anataka good equipment, nyumba nzuri, maji umeme na shule nzuri ya watoto wake!

2. The situation is more complicated than what M7 ascribes! There are push factors kwa mishahara mizuri kweli. Muhimu zaidi pia kuna pull factors- hizi nchi za Magh. kwa sasa zina aging population which needs special care! Wamesi na Madaktari wanahitajika kila mahali America na Ulaya kwa wingi sana. In one Remote Province of Canada 60% of Health workers are foreigners- sasa utasema in Canada waache kuchukua manesi na madaktari toka India and South Africa- kwa kuwa ni vibaya? Nani atawaangalia wazee wao? Yet madaktari wa Canada nao wanapenda kufanya zaidi mjini- hawapendi haya majimbo ya mbali kama ilivyo Tz- hivyo akipatakana toka India au SA poa!

3. Migration of health workers is a global justice issue, related to issues of power. May be A fund to compensate developing countries is needed- this will address the problem, partly! Wakiondoka madaktari 5 then mnatuma pesa kusomesha 10!
Tanzania tuliamua kuwa na Assistant Medical Officers (AMO)- hawa hawakimbii! Jamani ee- daktari yeye sii mwanadamu? Halafu kwa nini inaonekana ni dhambi yeye kwenda US kutafuta maisha? Kwa nini akae Kibondo- manake haswa reference huchukuliwa kuwa madaktari zaidi ndi hawataki kufanyia sehemu mbaya za Tanzania

4. We also strategically need to invest more in our institutions to train our own people in Tanzania in Masters and PhDs- a large % of quality staff which leave Tanzania- is when they gat training opportunity abroad- if such opportunities were available in Tanzania- the government could sign a contract (for rare professions) - that someone will be obliged to work in Tanzania at least for 5- 7 years before looking for green pastures abroad- this is possible. How many students are we enrolling for PhD in Tanzania currently? Kuna mtu ana data?
 
Mzalendo Halisi. Mimi sipingi daktari kwenda marekani kutafuta maisha. Ninachopinga ni kusema kuwa kama watapatiwa mshahara mzuri watafanya kazi Kibondo. Nimesema nyumbani kuna Medical assistants ambao pengine wao wangekubali kufanya kazi Kibondo.Maafisa kilimo, mahakimu, walimu wa shule za msingi n.k. Hao ndio ninaowazungumzia(Sio akina sisi wenye digrii zenye soko duniani)! Hao ndio tuwape mishahara inayostahili, mazingira mazuri ya kufanyia kazi na heshima wanazostahili. majirani zetu wa Malawi walifikia hatua ya kupunguza kiwango cha manesi wao ili wasiwe mali ulaya. hiyo mikataba unayozungumzia ilikuwepo na watu waliendelea kuondoka. Ukweli ni kwamba watu wengi tukipata nafasi ya kwenda kwenye greener pastures hatuangalii nyuma. Ndio ukweli wenyewe na si kuwa tunakosa uzalendo! Ni hulka ya binadamu. Hao wakanada na sasa na wafaransa wana mpango kabambe wa kuwavutia wahamiaji wasomi kutoka nchi zinazoendelea! sidhani kama tuna ubavu wa kushindana nao.Iliyobaki, tuangalie wale waliokubali kubaki na tuwatumie inavyopaswa!
 
Mwinyi (Mzee ruksa) alipochukua madaraka na katika safari zake za nje aliwaomba WTZ ambao wako tayari warudi nyumbani. Je, ni hatua gani za makusudi ambazo serikali ilichukua tangu wakati huo ili kuona hili linafanikiwa 0%. Viongozi wote huja na huu moto rudini nyumbani lakini ukweli wa mambo hawajaweka mazingara yoyote yale kuwawezesha WTZ warudi kufanya kazi Bongo.

Tutaendelea kuwalipa mishahara minono wageni na kubaki masikini hadi pale tutakapoweza kuwathamini wataalam wazawa na kuweka mikakati madhubuti.
 
Hakuna mtu anayeweza kupinga kuwa kuna haja ya kuwapatia watu mishahara inayolingana na hali ya maisha ya nyumbani. Kwa kuzingatia hilo, tumekuwa tunaanzisha miradi na wakala katika serikali(TRA,BOT n.k) ambamo watu wanalipwa hayo mabenjamin, tukasahau watendaji wengi ambao mazingira yao ya kutendea kazi yanasikitisha.Ninachosema ni kuwa si mishahara tuu, ni pamoja na mazingira bora ya kufanya kazi ndiyo yatakayotuondoa katika haya matatizo. Watu wanaweza kubangaiza ili wamudu maisha lakini utwezaje kuondoa frustrations ambazo zinatokana na kutothaminiwa. Hata huko ughaibuni si wote wanaopata mshahara wa kuwatosheleza. Watu wanahangaika lakini wanajua wakiajiriwa wanajua watathaminiwa kutokana na uwezo wao na si vingine.Utapatiwa mazingira ya kudiliva na kama hautadiliva hawatasita kukutosa! Mishahara ya wabunge hainibabaishi kwani nikiitaka nitagombea ubunge. Ninachodai ni kuthaminiwa kama mtu mwenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya nchi yangu.Kuthaminiwa huku kunaendana na mshahara ambao naelewa nchi yangu wanaweza kumudu kunilipa na si vinginevyo! Mishahara ya kufuru sina haja nayo.

Nani kasema watu walipwe mishahara ya kufuru!? :confused:
Tupe definition ya mishahara ya kufuru. Wanachotaka Watanzania ni mishahara inayoendana na hali hali ya maisha ambayo itawawezesha kumudu gharama za maisha yao ya kila siku bila kuwa na wasi wasi wa kupata wapi pesa na pia kupewa vitendea kazi. Ukishampa Mfanyakazi vitendea kazi, mshahara na marupurupu mazuri basi atachapa kazi mtindo mmoja. Lakini Watanzania hawataki mambo ya kuthamiminiwa kwa nyimbo na ngojera chungu nzima wakati gharama za maisha zimewazidi kimo na hawana vitendea kazi.
 
Mkuu! Wewe na MBA yako ya UCLA hautapangiwa kituo Sumbawanga. Nyie waheshimiwa mtagombewa na makampuni ya kigeni( mabenki n.k), mtalipwa mishahara minono, mtaendesha hayo maSUV na kama mtaenda serikalini, mtapangiwa kwenye projects kama consultants na kuendelea kuvuta! Baada ya muda utabembelezwa kugombea ubunge maana nyinyi ndugu zetu ndio tunategemea mtaweza kuelewana na hao wakina Benki ya Dunia walioshika uchumi wetu. Hao mnaowalani humu ndani, wakina Balali n.k wote walikuwa huko ughaibuni wakaja kutukomboa sisi tuliobaki huku. Maana wenzetu mmeona mengi. Hapana, namzungumzia yule mwalimu wa msingi, yule medical assistant, yule afisa kilimo, yule hakimu wa mahakama ya mwanzo na watu kama hao ambao hawana jinsi isipokuwa kubaki Sumbawanga. Hao wanaohudumia sehemu kubwa ya hii jamii ya watanzania. Nyie wenzangu? Endeleeni kupeta na mkitukumbuka mtutupie hivyo vibenjamin vya kuwasomesha ndugu zetu katika shule zetu za "academy" na baadae waje wajiunge na nyie huko ughaibuni. Tusidanganyane, hakuna mshahara ambao utaweza kupewa na serikali ya Tanzania utakaolingana na mishahara ya huko. Wanachoweza kufanya ni kukupa heshima unayostahili kama raia wa nchi hii. Uamuzi ni wako. Hao watu wa Kibondo na Sumbawanga wala hawajui kuwa kuna watu wana MBA ya UCLA. Wao wanajitahidi kuishi siku hadi siku. Ni sisi wasomi ndio tutaendelea kupokezana zamu kuwa mafisadi!

....jidanganye tuu,this guy went to LSE then home tena serikalini kapangiwa planning officer mkoani,kilichotokea baada ya hapo God knows!
 
Back
Top Bottom