Museveni achukua Sera ya Chadema: Free A Level Ed kuanzia mwakani.. TZ? Haiwezekani.!


Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,749
Likes
7,623
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,749 7,623 280
THE NRM 2011 presidential candidate, Yoweri Museveni, has promised free education for A’level students starting next year.

Museveni made the promise at different rallies in Lango sub-region. The Government is already providing free education at O’level.

“We have given you free primary education, free education at O’level, and now starting next year, we shall give you free education at HSC,” Museveni said yesterday at a rally in Alebtong district.

The party’s manifesto promises to extend free secondary education from ordinary to advanced level. The ruling National Resistance Movement party first promised to introduce free secondary education during the 2006 presidential campaigns.

Started four years ago, 110,000 students under the scheme of candidates will this week complete their for final O’Level examinations. A total of 264,560 students registered for the exams countrywide.

Under the country’s education system, a student with A’ level certificate or its equivalent can join the university.

Museveni was yesterday was given rousing welcome by NRM supporters in Alebtong. He warned head teachers against charging fees in government schools saying when the system is supposed to be free, it must bear no charges.

“It is not my plan to charge extra fees. When you say free education and then you charge money, which language do you understand?” He asked to the deafening cheering of the
wanainchi.

The President also promised to rehabilitate old secondary schools and build laboratory. He cautioned head teachers against charging parents fees for building classrooms saying it is the work of government to do so and promised his government would construct more classrooms in the next five years.

“We want parents to be free, to use their money to engage in other issues that promote development,” he said.

He said in Lira district, before UPE was introduced, there were only 26,000 pupils enrolled in Primary schools but today over 79,000 are enrolled in Primary schools.

He added that before the introduction of USE, only 11,000 students were enrolled in Secondary Schools compared to today’s 15,000 students.

Ministry of Education Publicist Aggrey Kibenge was yesterday guarded on the scheme when we sought out comments from him.

“As you know NRM is in charge, if it makes such a commitment, it means it has done ground work. If a government makes such promises, it is different,” said Kibenge .Asked if this had been discussed by the technical team at the ministry, he said, “I trust it has been discussed.

Government began offering free secondary education to 250,000 students in February of 2007. It increased the transition rate from primary to secondary school from 46% to 69%. Currently, the scheme is being implemented in 1,471 government and some private schools covering about 579,734 students.

Source:New Vision
 

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,073
Likes
45
Points
135

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,073 45 135
Habari kama hii ingewafikia wananchi katika kila pembe ya Tanzania pengine ingesaidia kuwapa matumaini wale ambao matumaini yao yamezimika kama kuzima mwenge.
Magazeti yetu si mepesi kudaka habari kama hizi, hata pale yakiandika zinawekwa ukurasa wa ndani kwa kichwa cha habari kiduchu na habari yenyewe kwa ufupi.
Sisi Tunafinance wizi na kuulinda kwa ulinzi imara wa Polisi na JWTZ. Hatuna nafasi ya kusomesha vijana wetu bure kwa sababu wakisoma wengi itakuwa taabu sana kuwatia ujingani.

Tusubiri tu Umanamba East Africa ikianza.
 

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,364
Likes
1,183
Points
280

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,364 1,183 280
Kwa Afrika kutawaliwa na madikteta kama akina Kikwete ni jambo tusiloweza kuepuka haraka kwa sababu wanatumia nguvu nyingi zitokanazo na kodi yetu kutugandamiza kusudi tusifurukute. Kwa hiyo nadhani ni afadhali ukiwa na madikteta wanaoleta maendeleo ya nchi kama hawa akina Museveni, Kagame, na Kibaki kuliko kuwa na Dikteta Kikwete anayefikiria maendeleo ni vitu vidogo vidogo kama kuwa na hausgeli, kuwa na gari na kuwa na foleni ndefu sana za magari barabarani.
 

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
716
Likes
17
Points
35

Bhbm

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
716 17 35
THE NRM 2011 presidential candidate, Yoweri Museveni, has promised free education for A'level students starting next year.

Museveni made the promise at different rallies in Lango sub-region. The Government is already providing free education at O'level.

"We have given you free primary education, free education at O'level, and now starting next year, we shall give you free education at HSC," Museveni said yesterday at a rally in Alebtong district.

The party's manifesto promises to extend free secondary education from ordinary to advanced level. The ruling National Resistance Movement party first promised to introduce free secondary education during the 2006 presidential campaigns.

Started four years ago, 110,000 students under the scheme of candidates will this week complete their for final O'Level examinations. A total of 264,560 students registered for the exams countrywide.

Under the country's education system, a student with A' level certificate or its equivalent can join the university.

Museveni was yesterday was given rousing welcome by NRM supporters in Alebtong. He warned head teachers against charging fees in government schools saying when the system is supposed to be free, it must bear no charges.

"It is not my plan to charge extra fees. When you say free education and then you charge money, which language do you understand?" He asked to the deafening cheering of the
wanainchi.

The President also promised to rehabilitate old secondary schools and build laboratory. He cautioned head teachers against charging parents fees for building classrooms saying it is the work of government to do so and promised his government would construct more classrooms in the next five years.

"We want parents to be free, to use their money to engage in other issues that promote development," he said.

He said in Lira district, before UPE was introduced, there were only 26,000 pupils enrolled in Primary schools but today over 79,000 are enrolled in Primary schools.

He added that before the introduction of USE, only 11,000 students were enrolled in Secondary Schools compared to today's 15,000 students.

Ministry of Education Publicist Aggrey Kibenge was yesterday guarded on the scheme when we sought out comments from him.

"As you know NRM is in charge, if it makes such a commitment, it means it has done ground work. If a government makes such promises, it is different," said Kibenge .Asked if this had been discussed by the technical team at the ministry, he said, "I trust it has been discussed.

Government began offering free secondary education to 250,000 students in February of 2007. It increased the transition rate from primary to secondary school from 46% to 69%. Currently, the scheme is being implemented in 1,471 government and some private schools covering about 579,734 students.

Source:New Vision
Sisi moto mdundo lazima wataelewa tu kwa hii miaka mitano.
 

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Messages
1,280
Likes
0
Points
0

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2009
1,280 0 0
some of the dictators are good. Africa Mashariki Museveni na Kagame ni mifano mizuri linapokuja suala la kujenga nchi. Sisi kila kitu ni ZERO
 

chanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Messages
279
Likes
0
Points
0

chanai

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2010
279 0 0
MM,
Hili suala la kuprovide free education inawezekana kabisa. Tunachokikosa Tanzania ni uongozi ulioamua kulitekeleza hili. Uganda ni nchi maskini sana na hawana rasilimali ambazo sisi tunazo. Sisi tuna kila kitu cha kuweza kuinua uchumi wetu na kuweza kuleta maendeleo kwa wanachi wetu.

Nilisikitika sana nilipomsikia yule mkuu wetu wa nchi anasema eti suala la free education watu wengine wamejaribu na wameshindwa. Sijui hawa viongozi wetu wanafikilia nini. Kwa kweli watu kama hawa hawafai kabisa kuwa viongozi kwenye nchi hii maana wanatoa kipaumbele kwanza kwenye matumbo yao na familia zao badala ya wananchi. Kuna gharama gani za elimu ambazo serikali itashindwa kuwalipia watoto wote kwenye nchi hii?Wao wenyewe waliweza kusoma bure kabisa tena na hadi University wakati nchi hii bado ikiwa changa kabisa. Leo hii nchi imestawi ikiwa imesheheni madini ya kila aina, samaki kutoka kila kona, misitu kila kona, just to name a few.

Wakati wanalalamika kuwa nchi ni maskini wao wenyewe wanakula raha kwa kwenda mbele wakiwa kwenye Mashangingi, XV, V8 n.k. Tunahitaji viongozi wenye uchungu na nchi sio wanaosema "eti hawaoni mafisadi kwenye nchi hii". "Eti fisadi ni mtu anayeiba wake za watu". Je waatu kama hawa wanaweza kuleta maendelea kwenye nchi hii? Mtu kama huyu anaweza kufikilia kujadili mswada wa elimu bure bungeni? La asha!

Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa ya kuwang'oa hawa majaa wanaosema elimu na afya bure haiwezekani.
 

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,677
Likes
1,846
Points
280
Age
36

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,677 1,846 280
Lakini Uganda wataweza vipi wakati wao ni nchi maskini labda kutuzidi sisi?
Ni priority na Political willingness. Hata wakitaka uganda iwe kama Japan, wakiset priorities zao vizuri na kukiwepo nia na dhamira ya dhati ya kisiasa, hakuna kinachoshindikana
 

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Messages
681
Likes
5
Points
35

We can

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2010
681 5 35
Ili kufikia maendeleo yoyoye yale, sharti:
1. Penda nchi na watu wake,
2. Panga mipango shirikishi,
3. Mobilize (human and material rsources),
4. Simamia utekelezaji bila kujali CHAMA, shangazi au mjomba,
5. Tathimini na ikibindi REKEBISHA ulipokosea kwa HARAKA na kisha,
6. SONGA mbele tena
 

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Messages
681
Likes
5
Points
35

We can

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2010
681 5 35
Ili kufikia maendeleo yoyoye yale, sharti:
1. Penda nchi na watu wake,
2. Panga mipango shirikishi,
3. Mobilize (human and material resources),
4. Simamia utekelezaji bila kujali CHAMA, shangazi au mjomba,
5. Tathimini na ikibindi REKEBISHA ulipokosea kwa HARAKA na kisha,
6. SONGA mbele tena
 

chelenje

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
554
Likes
2
Points
0

chelenje

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
554 2 0
Ni vema na inaleta matumaini kwa wananchi wake, TZ hiyo haiwezekani gharama ni kubwa bora kuchapisha mabango na kusambaza tz nzima...:sad::sad::sad:
 

Forum statistics

Threads 1,204,210
Members 457,149
Posts 28,146,147